ANAa..........

MR NDEE

Member
Aug 2, 2011
54
21
Anamereeme (Anameremeeta)

mwanamwali Anamereta (Anameremeta)

Anawaaka waka (Anawawaka)

Kwashakoo anawakawaka (Anawakawaaka)

Anataanga tanga (anatanga tanga)

Machinga anatangatanga (anatanga tangaa)

Anateeteeteh (anatetereka)

Mdanganyika anatetereka (mwache atetereeke)

Anapaandapanda (Anapandapanda)

Sukari anapandapanda(Anapandapanda)

Anariiinga ringa (Anaringaringa)

Fisadi anaringaringa (Anarigariinga)

Anakuuufakufa mwache aafee

Mama mjamzito anakufakufa (mnyonge kabiiisa)

ITAAAEEENDELEEAAAAA HATAAA KAAAMA
 
Anadunda dunda anadundaduunda

Maleria anadundunda Anadundaduunda

Mzungu ataleta neti tutatampa madini

Anafelifeli anafelifelii Anafeliifeliii
Mwanafunzi anafelifelii Tutamwibia mtihanii

 
Anatete Anateteaa

Anatetea mafisadi ndio mabwana wakee

Anauuwuwaa Anauauaa

Anaua Machinga

sio raia watanzaniia
 
Back
Top Bottom