Ana Tibaijuka vipi?

Prof. alidandia treni kwa mbele bila ya kujua nguvu na kasi yake. Kwanza ule mvutano wake na Muccadam umeishia wapi?

Only a disaster would restore Dar's image
 
Wajemeni kuna uzio unajengwa pale Jangwani na ikumbukwe hii ni mara ya pili kabla ya hapo Mh. Rais aliwahi kuingilia kati mwezi wa nne! Wanaohusika katika wizi huu wa viwanja ya michezo ni TANROADS chini ya mradi wa mabasi yaendayo kasi (ikimuhusisha Dr Magufuli kwa upande mmoja kama bosi) na upande wa pili kuna Prof. Tibaijuka waziri wa Ardhi! Hebu tujiulize hivi viwanja vimekuwa wazi miaka yoote, leo hii hawa TANROADS wanakuja na upuuzi wao wa mabasi ya mwenendo wa kasi nakutaka kuvipora, je hawa watu hawakupewa funds za kutosha na World Bank kuweza kununua ardhi mahali kwingine na kuweka hiko kituo chao? kwanini kisijengwe kariakoo? majengo mangapi ya NHC yapo huko tena chini ya usimamizi wa mama Tibaijuka yanayoweza kuuzwa kwa TANROADS to pave a space for a bus stand (for a public use)? au ni kukosa maarifa? wapi mama Tibaijuka atukingie kifua? au kashalambishwa sukari? maana juzi hapa alikuwa anaunga mkono uuzwaji wa nyumba za NHC! Yangu mie macho...
 
Mkuu sina hakika kama World Bank huwa wanatoa pesa za kununua ardhi ama kufanya malipo ya fidia kwa ardhi inayochukuliwa kwenye miradi mbalimbali; kama nimekosea ni bahati mbaya. Umesema mradi wa mabasi yaendayo kasi ni nini hiki? Ni mradi wa Bank ya Dunia? Unasimamiwa na nani; Serikali ama watu binafsi?
 
Back
Top Bottom