Ana Sifa Zote.....kasoro ...Sex!

Testimony

Senior Member
Aug 3, 2011
112
20
Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana. Ana tambia nzuri. Kwa kweli nikimtazama najua atanizalia watoto wazuri sana. Amesoma na ni graduate. Kabahatika kupata kazi nzuri na kwa ujumla ana future nzuri, inshallah, kimaisha. Ananipenda sana na kwa ujumla nami nampenda. Ningependa awe wangu wa milele, ila tu kwa hili:

Ni wa baridi mno tuwapo maeneo. Na sio kuwa hajishughulishi, la hasha. Anajitahidi kutoa penzi zuri na anafundishika. Tatizo tu ni maumbile yake. Hayana mvuto. Kutafuta mzunguko wa zaidi ya mara moja inakuwa kazi kweli, mpaka hata inabidi uanze kujivisha sura na feelings za mtu mwingine ili uweze kugoneka mpaka kumaliza mzunguko wa pili nk.

Nafahamu kuwa huwezi kupata mwenza aliyetimia 100%. Je niamue tu kuwa huyu atanifaa sana kama mke, mama wa wanangu tukijaliwa inshallah na msaidizi muhimu sana kiuchumi maishani. Kwamba nijitoe muhanga kuwa sitapata penzi nililowahi kulipata kwingineko? Je sex ni muhimu kiasi gani katika maisha ya ndoa? Kwa wenye ufahamu naomba mnijuze. Asante.
 
Hapo kwenye RED napata kizunguzungu kidogo! labda mimi ni slow lerner!
 
inategemea maumbile unayosema ni yapi,hayana mvuto ni k?au nin?ana kaz gan mana kaz nayo huchosha?jbu kwnza
 
Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana. Ana tambia nzuri. Kwa kweli nikimtazama najua atanizalia watoto wazuri sana. Amesoma na ni graduate. Kabahatika kupata kazi nzuri na kwa ujumla ana future nzuri, inshallah, kimaisha. Ananipenda sana na kwa ujumla nami nampenda. Ningependa awe wangu wa milele, ila tu kwa hili:

Ni wa baridi mno tuwapo maeneo. Na sio kuwa hajishughulishi, la hasha. Anajitahidi kutoa penzi zuri na anafundishika. Tatizo tu ni maumbile yake. Hayana mvuto. Kutafuta mzunguko wa zaidi ya mara moja inakuwa kazi kweli, mpaka hata inabidi uanze kujivisha sura na feelings za mtu mwingine ili uweze kugoneka mpaka kumaliza mzunguko wa pili nk.

Nafahamu kuwa huwezi kupata mwenza aliyetimia 100%. Je niamue tu kuwa huyu atanifaa sana kama mke, mama wa wanangu tukijaliwa inshallah na msaidizi muhimu sana kiuchumi maishani. Kwamba nijitoe muhanga kuwa sitapata penzi nililowahi kulipata kwingineko? Je sex ni muhimu kiasi gani katika maisha ya ndoa? Kwa wenye ufahamu naomba mnijuze. Asante.

Hapo kwenye RED ebu fafanuwa amesoma mpaka level gani, binafsi mimi ni form 4 Graduate, kumbuka hata darasa la saba wanagraduate.
425932_2366906390333_1780640867_1481860_1926267249_n.jpg
 
Mbona hii imekaa kama vile kaka unanitangaza humu...I am shocked :)

On more serious note, kutokana na hizo inshallah hapo juu itakuwa wewe ni muislam, wewe oa huyo dada kama mzazi mwenzio na mwenzi wa maisha. After sometiems ongeza namba mbili mwenye uzoefu na department hiyo.

Problem solved.
 
Wewe mwenyewe sex unaipa nafasi gani ktk maisha yako? Na kama hana mapungufu mengine hilo ndo tatizo tu waweza kumtafuta mwingine then ukalinganisha yupi atakufaa zaidi ila kuwa makini waweza kumtafuta mwingine hata ukakosa hadi raha ya sex utakayokuwa unaifata.
 
Unadai kwamba
Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana.

Lakini hapo hapo unalalama
Tatizo tu ni maumbile yake. Hayana mvuto.

Ina maana hayo maumbile unayodai hayana mvuto sio sehemu ya shape yake ambayo unadai sio mbaya sana? Au kuna tofauti kati ya "shape" na "maumbile"?
 
Kei ikiwa ya baridi ndio inakuaje? Haina stimu au? Sidhani kama kei inaweza kua ya baridi kabisa,yani yani isiwe na joto hata kidogo? Maana nachojua mimi human being ana temp ya 37celcius,sasa inakuwaje temp haipo distributed equally? Me don't buy dat bruh!
 
ebu uliza labda anakuwa wa baridi kwa mlango wa mbele, wa nyuma utashangaa anakuunguza kabsaaaaaaaaaaaaaa
 
:lol:Lugha ya picha hiyo baba!:lol:
Nakukaribisha ukimaliza kupiga box leo uje kijiweni tunywe gahawa utaelewa kwa mifanoye:photo:
Unadai kwamba

Lakini hapo hapo unalalama

Ina maana hayo maumbile unayodai hayana mvuto sio sehemu ya shape yake ambayo unadai sio mbaya sana? Au kuna tofauti kati ya "shape" na "maumbile"?
 
Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana. Ana tambia nzuri. Kwa kweli nikimtazama najua atanizalia watoto wazuri sana. Amesoma na ni graduate. Kabahatika kupata kazi nzuri na kwa ujumla ana future nzuri, inshallah, kimaisha. Ananipenda sana na kwa ujumla nami nampenda. Ningependa awe wangu wa milele, ila tu kwa hili:

Ni wa baridi mno tuwapo maeneo. Na sio kuwa hajishughulishi, la hasha. Anajitahidi kutoa penzi zuri na anafundishika. Tatizo tu ni maumbile yake. Hayana mvuto. Kutafuta mzunguko wa zaidi ya mara moja inakuwa kazi kweli, mpaka hata inabidi uanze kujivisha sura na feelings za mtu mwingine ili uweze kugoneka mpaka kumaliza mzunguko wa pili nk.

Nafahamu kuwa huwezi kupata mwenza aliyetimia 100%. Je niamue tu kuwa huyu atanifaa sana kama mke, mama wa wanangu tukijaliwa inshallah na msaidizi muhimu sana kiuchumi maishani. Kwamba nijitoe muhanga kuwa sitapata penzi nililowahi kulipata kwingineko? Je sex ni muhimu kiasi gani katika maisha ya ndoa? Kwa wenye ufahamu naomba mnijuze. Asante.
Chukua mzigo huo.... unaweza kuubadirisha Kei yake ikawa na joto yapo mazoezi ya kuufanyisha mazoezi na ikawa na stimu ya joto kali, wapo wanawake wanaokuwa na ubaridi, nilishawahi kukutana na mmoja maeneo ya Ifakara nikaambiwa wote wa kule ndivyo walivyo kwasababu ya kuoga maji ya mto ambayo ni ya baridi tangu utotoni, lakinmi nilipoonja mwengine akawa tofauti!
 
Kwa mtazamo huu nakushauri ahirisha kabisa mpango wa kuoa wewe uwe unajikamatia kamatia tu.........kutuliza kiu!

Kosa kubwa sana kufanya comparison ya namna hii kwa mke mtarajiwa na haya ni madhara ya kunjunji without purpose!

Sasa endelea kujiuliza maswali........muda si mrefu atamzalia mwanume mwenzio mapacha, watabarikiwa zaidi na in 1 yr watakuwa wamejenga wana miradi mbali mbali na maendeleo makubwa tu........wewe utabaki na nigejua zako!
 
Umuhimu wa sex hauko kwenye ndoa/mahusiano...upo kwa mtu mwenyewe. Jiulize wewe kama utaweza kuishi nae hivyo hivyo kwa miaka 10 mbeleni huku ukiwa mwaminifu kwake...kama jibu ni ndio/hapana anzia hapo kufanya maamuzi.
 
Hapo kwenye RED napata kizunguzungu kidogo! labda mimi ni slow lerner!
Aisay we wacha tu, ana shape sio mbaya tatizo ni maumbile itabidi tukajifunze kiswahili korea sasa :biggrin:
 
Ooopsy nauliza hivi ni dini gani ambayo inaruhusu usex na mwanamke afu umuowe :biggrin:
 
aisee yaani unajua atakaesoma na kukupa wazo lolot lazima amechanganyikiwa
kivipi nikisoma juu mpaka chini naona wewe ni mhuni alafu player kiswahili unajua
yaani ufundishiki usaidiki mtu mwenye kuweza kufanya mapenzi na mtu alafu akaweka hisia za mwingine hata usiku achelewi kuweka hisia anamegwa ..sorry kwa hili ila wazo lako sijajua nikusaidiaje
 
Suala hapo ni maumbile yake, hakupenda kuwa hivyo ila ndiyo hivyo imemtokea. Nafikiri, ingawa inaumiza ni vizuri kufanya maamuzi mapema ya kumuweka pembeni maana ni vigumu sana tena sana kuishi na mtu ambaye hum-feel. Mwisho wa siku utajikuta una mke na vinyumba vidogo vingi nje ya ndoa na kujiweka kwenye risk ya magonjwa hatarishi.
Pole!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom