grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,442
- 5,807
Dogo anatafakari jinsi alivyoweza kupita kanjia ndogo kenye giza totoro kama hako miaka kadhaa iliyopita.
Dogo anatafakari jinsi alivyoweza kupita kanjia ndogo kenye giza totoro kama hako miaka kadhaa iliyopita.
Baba V hata mie nilitaka kumuuliza The Pen swali hilo hilo! Huenda ana utani na Nyani Ngabu! Ha ha haaaa! Hata mie simooo!
Nani alikusimulia???Hii kitu inatisha sana......lakini utamu wake ni balaaaaaaaaaaaaaa