Ana mpenzi wake, ila na mimi nampenda sana. Nifanyeje?

"What goes around comes around", pindua tu baba usijali ila nawe kaa ukijua kuwa utapinduliwa tu huku mbeleni, jiandae
 
mwanamke anaeweza kumuacha mwanaume wake kwa ajili ya mwanaume mwingine...ujue anaweza kukuacha pia wewe kwa ajili ya mwingine!...(kwa kidhungu ndio tam...anaeweza vizuri atheme bathi.)
 
kama una nia ya kumchezea bora umwache aendelee na mahusiano yake ila kama unampenda for future rusha ndoana yako
 
Nenda kwa mganga wa maruhani, tatizo litakuwa limekwisha...............Atakufuata mwenyewe...............LOL

We mtambuzi wewe, acha noma, amesema kama huna cha kumshauri nenda kwenye thread nyingine. Niludi kwenye mada, mwaya endelea tu kulia ipo siku atayaonea machozi yako huruma, maana inavyoonyesha wewe mwenyewe hakuonei huruma, ila machozi atayahurumia.
 
Kama unataka ushauri wa kimapinduzi wafuate jamaa wa mali kule ndo wanayaweza mapinduzi,lakini ushauri wangu ishia hapohapo kumpenda tu ili umshinde shetani
 
Kamanda kama unampenda kweli na unajua fika alipo ana amani
na jamaa aliye nae wanapendana do not disturb. Kama kweli wampenda utramlinda.
 
Kamanda kama unampenda kweli na unajua fika alipo ana amani
na jamaa aliye nae wanapendana do not disturb. Kama kweli wampenda utramlinda.

asante kwa ushauri.ila mimi ndo nahisi nampenda zaidi ya jamaa yake.yaaani mara 10 zaidi ya jamaa.akiniambia hata nihame chama nahama!!
 
Do onto Others what you Would Have them Do to you...

Live by the Sword, Die by the Sword.... ningeweza kuendelea mpaka kesho lakini the point ni kwamba angalia furaha zako zisiwe shida kwa wengine...

Lakini Love has no Boundaries kama kweli umempenda na yeye amekupenda maybe jamaa ataelewa and wont stand in the way of love, lakini sio kwamba wewe ndio u-initiate kuvunja mahusiano ya wenzako.., Let Love lead the way.., dont force things
 
jamani sio mimi ni moyo wangu.nimezidiwa spidi na moyo jamani
 
Back
Top Bottom