Ana mimba na Condom imetumika kwa usahihi

yaani huyo dogo amtupilie mbali unaweza kuta kabeba mimba ya mumewe au mwanaume mwingine, kama ameweza kulala nae akiwa kwenye ndoa kwanini asiweze lala na wanaume wengine?

aache kumpigia simu , afute namba yake, na amwambie hawezi kusumbua ndoa yake na mkewe.

wanawake wajanja jamani, wanaume tusijisahau.

amemtumia rafiki yako kutaka kumpachika, labda kwa mumewe mambo mabaya pesa haiji kama zamani

mwambie amsahau kabisa, evidence anayo. amwambie mkewe kuna mwanamke anamsumbua miaka mingi naameolewa at least awe na idea ya kuwa kuna mtu anasumbua mumewe hiyo yote itasaidiaa hata hapo baadae akija admit alilala nae na mipira

Huoni kama utakuwa ubabe zaidi kwa mwanaume na mwanamke ataumizwa au ni kwa sababu mwanaume hawezi kushika mimba wakati wamefanyana wote. Hii inadhihirisha jinc wanaume walivyo wababe na kama wangekuwa wanashika mimba wangekuwa nazo mpaka kwenye ndevu!
 
Acha uchonganishi wewe,,kwa kimey nimetua mizigo!!nakusubiri u:A S 101:


:focus:


Hapahapa nimependa hiyo panda hewani yako sijui kama Kimey ameshaiona nakupandia sasa hivi mtu wangu ngoja wife atoke chumbani apotelee sebuleni niingie na cm.yangu bafuni tuchonge Babe kwa raha zetu
 
Hapahapa nimependa hiyo panda hewani yako sijui kama Kimey ameshaiona nakupandia sasa hivi mtu wangu ngoja wife atoke chumbani apotelee sebuleni niingie na cm.yangu bafuni tuchonge Babe kwa raha zetu
Unataka kuniambia huu ni mpango wa nje?
 
swithat achana na Derimto ni maneno ya mkosaji,,naenda nae kama kansela tukasuluishe hii mambo yake ya mipango ya nje.mcng u biiiiig

Usiumize kichwa we muulize saa hizi yuko wapi halafu akwambie ndipo utakoma mwenyewe
 
mtu uwezi kutoka kwenye ndoa then upime dna ikiwa ni ya mume afanyaje akose kote??????????????????????

What I said earlier from the provider of this information hii 'ndoa' is there theoretically and so what I had said is asivunje ndoa bali atengane na mumewe kwani hata wanavyoishi , hawaishi kama mtu na mkewe, huyo mume ataona tumbo hilo na atapima aendelee au aache kabisa, kizuri hilo tumbo ataliona from a distance far from his area of authority! Na huyo 'presumed' mwenye mzigo basi na atoe matunzo, vilevile huyo mama anaonekana tayari ameshaanza majukumu ya kujikimu, lastly na lastly...wawili hawa , wanapendane, no one has a right to call anyone any names just bcoz they are married to other people..they are adults who had sex fully knowing the consequences, judging their act is OLD NEWS..solving their problem is also not an option, all we can do is to rescue it from bad to ugly..this woman nursing that mimba can be beaten to death if found..mama please run now when u still have two feet..peace to y'all
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom