Ana mimba na Condom imetumika kwa usahihi

Bado sikuelewi,,,labda utakapojibu memo ya Preta,,,kwanini dogo aendelee kufatilia wakati alishaoa Derimto????halafu inaonekena ulikuwa mshenga,,haya hii mimba inakuwaje??mume halali atashikishwa?au mtaendeleza dhambi mkaitoe??mtihani huo
Acha kushika watu uchawi, mpeni mawazo afanyaje na siyo kwanini alifanya hivyo.......
 
Mimi naona mwanamke msanii anajua hatapata matumizi kutoka kwa bwana yake hivyo ana mganda jamaa ili aleemimba na baadae mtoto...hivi haiwezekani kupima DNA? au mpaka mtoto azaliwe, je yeye mwana mke anatakaje maana inaelekea kila kitu hataki yaani kutoa mimba hataki kupangishiwa nyumba hataki? kwa maelezo haya mwanamke ni msanii mwanamke anaogopa maana hakuondoka pale walipokuwa na ugomvi mkubwa leo huu wa kichinichini ukimwondoa anawaza wanafamilia yake hasa mama yake anaweza akachanganyikiwa na hata kuugua kulingana na imani yake....tuonane baadae kwenye kikao
 
mmmmm hii sasa kali dhu!! ila chonde chonde jamani msiue hicho kiumbe tafadhali hakina hatia.

huyo bidada anajua huyo mtoto ni wa nani kwani mama asingiziwi mtoto.
 
Wana-JF hii issue ni complicated sana na inahitaji uamuzi wa dharura kutokana na mazingira halisi(Kuzaa na Mke wa mtu na mume wa mtu tena mwenye migogoro kwenye ndoa na pia jamaa aliezalisha nae na mke wa ndoa)Ndoa zote zinauwezekano mkubwa kuvunjika na pia zinaweza kugharimu roho za watu na kutesa watoto watakaoachwa. Matokeo ya hii issue ikiachwa kwa muda mrefu italeta janga kubwa sana kwenye familia zote 2. ya mwanamke na mwanaume pia kwani wote ni watu walio kwenye ndoa zao.Kama inavyojulikana mke wa mtu ni hatari sana hivyo hatujui jamaa mwenye mke atachukua uamuzi gani kwa mwizi wake,na jamaa mwenye mke huenda akamchukulia jamaa aliempa mke wake mimba chanzo kikubwa cha ndoa yake kuwa na migogoro hata kama kuna mambo mengine ya msingi. Walishatenda dhambi 2, ya kwanza wamezini na ya pili jamaa ametamani mke wa mtu. hivyo wamalizie na ile ingine ya usiue ili kuepusha moto mkubwa utaowaka kama jamaa atajua kuna mwizi wake na tena mpaka amamzalisha mkewe. NAWAKILISHA TUU WAZO WANDUGU.
 
Kumbe mume alishawahi kuzaa na housegirl????? Inaelekea hata sasa bado anachakachua nje ndiyo maana nyumbani hawezi tena. Lawama asitupiwe mama pekee, mume anahusika kwa kumnyima haki yake mkewe. Dogo akome kula vya wenyewe. Mama naye kama ndoa imemshinda ni bora akadai talaka akatafute mwenza mwingine wa halali.
 
wanakudanganya akuna cha usahihi sio darasani

KUNA KONDOM ZA MWANZO ZILIKUWA ZINATOA MANANII MWANAUME AKIIMALIZA LAKINI ILIKUWA NGUMU KUYAONA NA KUPATA MIMBA AIITAJI ZOTE YAANO HATA TONE LIKIFIKA KUNAKO DIDY ANAZALIWA
MAMA YANGU MZAZI ALIZALIWA NA KONDOM NA AKIKUPA STORY ALIPOMALIZA MASOMO YAKE YA NURSE NDIO BABAKE AKAMUULIZA UNAJUA KWA NINI NAKUPENDA SANA MWANANGU..AKAMWAMBIA UNAJUA WAKATI ULIPOPATIKANA NILITUMIA KONDOM ILA NAZANI ILITOBOKA KWA MBELE..UKWELI HALISI NDIO HUO MAMA NGU AKAZALIWA NA LEO ANA WAJUKUU SO KONDOM ZIPO KAMA ZIPO ILA UKIZIDADIS SANA AZIZUII MIMBA WALA CHOCHOTE TENA ZIKITUMIKA VIZURI NA ILE MIKELELE YA MBA MBA MBA WEEEEEE LAZIMA TWINS WATOKE WALIKO

Hizo condom zilizokuwa zinatumika enzi hizo kipindi mama 'ako anazaliwa zilikuwa bomu tofauti na za leo ambazo zina improvement kubwa sana!
 
Acha kushika watu uchawi, mpeni mawazo afanyaje na siyo kwanini alifanya hivyo.......

Asante M'baba kama jina lako lilivyo na lake lilivyo she desrv.this ila angalia maana ameshaonyesha nia ya kutaka kukuchomekea na wewe mtoto wa Kimey maana huyu naye haeleweki
 
Mimi naona mwanamke msanii anajua hatapata matumizi kutoka kwa bwana yake hivyo ana mganda jamaa ili aleemimba na baadae mtoto...hivi haiwezekani kupima DNA? au mpaka mtoto azaliwe, je yeye mwana mke anatakaje maana inaelekea kila kitu hataki yaani kutoa mimba hataki kupangishiwa nyumba hataki? kwa maelezo haya mwanamke ni msanii mwanamke anaogopa maana hakuondoka pale walipokuwa na ugomvi mkubwa leo huu wa kichinichini ukimwondoa anawaza wanafamilia yake hasa mama yake anaweza akachanganyikiwa na hata kuugua kulingana na imani yake....tuonane baadae kwenye kikao

Hili nalo Neno la kupima DNA kabla ya mtoto kuzaliwa linaweza kulete ufumbuzi suala tata zaidi hapa ni ndoa zao zimekaaje.
 
Kumbe mume alishawahi kuzaa na housegirl????? Inaelekea hata sasa bado anachakachua nje ndiyo maana nyumbani hawezi tena. Lawama asitupiwe mama pekee, mume anahusika kwa kumnyima haki yake mkewe. Dogo akome kula vya wenyewe. Mama naye kama ndoa imemshinda ni bora akadai talaka akatafute mwenza mwingine wa halali.

Thnx. Mamkwe ila Ndiyo limeshatokea hapa tunatafuta namna ya kukabiliana nalo kama ni uharibifu tayari ni mkubwa na kila moja wao anatamani siku zingerudi nyuma afanye kwa usahihi lakini wapi!
 
Mimi naona mwanamke anashambuliwa bure na kuitwa kicheche, the duo love each other and the unborn baby was made out of love, kwavile hawana na hawako in good terms with husband ( who had a baby with HG ) na kwakuwa huyo mama anafanya kazi na hapati support kubwa ya matunzo kwa mumewe..na kwakuwa huyo mwanaume hawezi kumwacha mke wake wa ndoa,na kwakuwa they can't have an abortion.... the woman should move out na apewe assistance zote from tht man and akijifungua tu wakapime DNA, staying in unhealthy relationship just bcoz una pete na unafeel utaleta aibu fulani isn't good especially if u r denying ur right to love and enjoy life to the fullest, may I remind members that we live only once ? Huyu mwanaume akiona bado anampenda mkewe despite that baby on the wrong side of blanket basi watarudiana , mke asivunje ndoa, bali atengane na mumewe, I would do the same if I were in her shoes..do I hear people say and shout MZINZI ? !! On this case, I say mama pls tii kiu yako!!
 
mmmmm hii sasa kali dhu!! ila chonde chonde jamani msiue hicho kiumbe tafadhali hakina hatia.

huyo bidada anajua huyo mtoto ni wa nani kwani mama asingiziwi mtoto.

Yaani wewe una Mungu wa kweli maana kwa mtazamo wangu mimi haya yote yanatokana na ubinafsi wetu halafu tunatafuta njia kuwadhulumu haki za wengine ili kulinda kile kinachoitwa uhuru wetu ila kama tukiacha kufanya mambo yasiyo rasmi kwenye maisha kuleta hasara sana hasa ngono zembe
 
Mimi naona mwanamke anashambuliwa bure na kuitwa kicheche, the duo love each other and the unborn baby was made out of love, kwavile hawana na hawako in good terms with husband ( who had a baby with HG ) na kwakuwa huyo mama anafanya kazi na hapati support kubwa ya matunzo kwa mumewe..na kwakuwa huyo mwanaume hawezi kumwacha mke wake wa ndoa,na kwakuwa they can't have an abortion.... the woman should move out na apewe assistance zote from tht man and akijifungua tu wakapime DNA, staying in unhealthy relationship just bcoz una pete na unafeel utaleta aibu fulani isn't good especially if u r denying ur right to love and enjoy life to the fullest, may I remind members that we live only once ? Huyu mwanaume akiona bado anampenda mkewe despite that baby on the wrong side of blanket basi watarudiana , mke asivunje ndoa, bali atengane na mumewe, I would do the same if I were in her shoes..do I hear people say and shout MZINZI ? !! On this case, I say mama pls tii kiu yako!!

Huu ni ushauri mzuri kati ya wengi waliochangia nauthamini kulingana na mazingira yenyewe ila kikubwa nitawaona leo na kuwawekea mashauri ya sehemu mbili na kuwaambia faida na hasara zake then wao waamue kama last line maana ndio wahusika
 
yaani huyo dogo amtupilie mbali unaweza kuta kabeba mimba ya mumewe au mwanaume mwingine, kama ameweza kulala nae akiwa kwenye ndoa kwanini asiweze lala na wanaume wengine?

aache kumpigia simu , afute namba yake, na amwambie hawezi kusumbua ndoa yake na mkewe.

wanawake wajanja jamani, wanaume tusijisahau.

amemtumia rafiki yako kutaka kumpachika, labda kwa mumewe mambo mabaya pesa haiji kama zamani

mwambie amsahau kabisa, evidence anayo. amwambie mkewe kuna mwanamke anamsumbua miaka mingi naameolewa at least awe na idea ya kuwa kuna mtu anasumbua mumewe hiyo yote itasaidiaa hata hapo baadae akija admit alilala nae na mipira
 
Huu ni ushauri mzuri kati ya wengi waliochangia nauthamini kulingana na mazingira yenyewe ila kikubwa nitawaona leo na kuwawekea mashauri ya sehemu mbili na kuwaambia faida na hasara zake then wao waamue kama last line maana ndio wahusika

mtu uwezi kutoka kwenye ndoa then upime dna ikiwa ni ya mume afanyaje akose kote??????????????????????
 
Mimi naona mwanamke anashambuliwa bure na kuitwa kicheche, the duo love each other and the unborn baby was made out of love, kwavile hawana na hawako in good terms with husband ( who had a baby with HG ) na kwakuwa huyo mama anafanya kazi na hapati support kubwa ya matunzo kwa mumewe..na kwakuwa huyo mwanaume hawezi kumwacha mke wake wa ndoa,na kwakuwa they can't have an abortion.... the woman should move out na apewe assistance zote from tht man and akijifungua tu wakapime DNA, staying in unhealthy relationship just bcoz una pete na unafeel utaleta aibu fulani isn't good especially if u r denying ur right to love and enjoy life to the fullest, may I remind members that we live only once ? Huyu mwanaume akiona bado anampenda mkewe despite that baby on the wrong side of blanket basi watarudiana , mke asivunje ndoa, bali atengane na mumewe, I would do the same if I were in her shoes..do I hear people say and shout MZINZI ? !! On this case, I say mama pls tii kiu yako!!
mtu uwezi kutoka kwenye ndoa then upime dna ikiwa ni ya mume afanyaje akose kote??????????????????????
 
Asante M'baba kama jina lako lilivyo na lake lilivyo she desrv.this ila angalia maana ameshaonyesha nia ya kutaka kukuchomekea na wewe mtoto wa Kimey maana huyu naye haeleweki
Hahaha haya bana! Ili kuepuka hilo mwambie astay away from my WL!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom