Ana Makinda afichua siri ya posho kwa wabunge

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
14,205
13,709
Umewataja wanawake viongozi na madudu ya aibu waliyoyafanya katika nyadhifa zao lakini umemsahau kinara wao Gertrude Mongella , aliyekuwa mbunge wa Ukerewe na Rais wa bunge la Afrika na madudu aliyoyafanya yaliyoiaibisha nchi akiwa Rais wa bunge la continent!!
 
Umemsahau Sophia Simba. Sometimes najiuliza huyu mama akili zake sijui zimekalia wapi.
Yuko kimipasho pasho zaidi, kwa jinsi alivyo, wakikutana na mkuu wa kaya sijui huwa wanajadili nini!
 
Mmemsahau Dr Asha Rose Migiro. Amechemsha UN. Amepelekea mpaka Ban Ki Moon kutomuongezea mkataba na kumtaka arejee TZ mwezi wa 6.
 
Sawa kabisa hata katika maisha ya kawaida ya ndoa kama Mzee huachi kodi ya mezani Mama anaweza kuomba talaka ati!!!! Teh!! teh!! teh!
 
TUMESEMA WANAWAKE WAKIWEZA, WANAWEZESHWA! kosa bado liko kwa wanaume walipoweza hatukuwawezesha bwana, but wanawake wapo smart sana!
 
Hivi karibuni kwenye kikao cha bunge kilicho pita spika ana makinda alijiongea posho na wenzake. Baada ya wadau mbali mbali kulalamikia suala hilo basi serikali kwa aibu wakasema posho hazina baraka za ikulu na kuzuia. Kwa masikitiko makubwa mh ana makinda akiwa kwenye mojawapo ya mikutano yake huko iringa alitangaza kutogombea tena ubunge na kwa sasa anajiandaa kujenga nyumba!kumbe kelele zote za posho ni ili ajenge nyumba?

Na hii kwa viongozi wana wake limekuwa kawaida harafu wakinyimwa nafasi kubwa wana lalama.hebu kumbuka zakia meghiji alikuwa waziri wa maliasili na waziri wa fedha madudu yake,angalia magreth sitta na uwaziri wa elimu?cheki blandina nyoni kisha sikitika kwa celina kombani?ana makinda anasema wabunge wengi wanataka kukimbia ubunge kwa kuwa maisha ni magumu na posho zimekataliwa?

Huyu mtu alipaswa kuwataja wabunge hao ili wana nchi waliowachagua ili kuwauliza kama wakati wanaomba uongozi walienda bungeni kufuata posho au kuwatetea na kisha maendeleo? Hawa ndio sampuli ya watu ambao wana magamba na wananchi wanasubiri maziwa na asali kutoka kwao.kazi kwenu wana jf nilitaka tu kuwakumbuka kwamba neema tanzania baada safari ni ndefu.

Mpaka sasa naona list ina watu wafuatao
1. Anna Mkinda - Speaker wa bunge JMT
2. Zakia Meghiji - Aliwahi kuwa waziri Maliasili, Utalii na waziri wa fedha.
3. Magreth Sitta - Aliwahi kuwa waziri wa Elimu.
4. Blandina Nyoni - Aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya afya.
5. Celina Kombani - Waziri wa sheria na katiba
6. Getrude Mongella - Aliwahi kuwa Mbunge wa Ukerewe na Rais wa bunge la Afrika.
7. Sophia Simba - Aliwahi kuwa waziri Ustawi wa jaimii jinsia na watoto.
8. Dr Asha Rose Migiro- Naibu katibu mkuu UN.
9. Anna Kilango - Mbuge Same Mashariki
10. -----------
11. -----------
12. -----------

Je ni hao tu? List iendelee tafadhali!
 
Mmemsahau Anna Kirago Malechela domo kama bakuli, na mghani wa mashairi bungeni.
Huyu ni mzigo kwa walipa kodi wa nchi hii.
 
Mpaka sasa naona list ina watu wafuatao
1. Anna Mkinda - Speaker wa bunge JMT
2. Zakia Meghiji - Aliwahi kuwa waziri Maliasili, Utalii na waziri wa fedha.
3. Magreth Sitta - Aliwahi kuwa waziri wa Elimu.
4. Blandina Nyoni - Aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya afya.
5. Celina Kombani - Waziri wa sheria na katiba
6. Getrude Mongella - Aliwahi kuwa Mbunge wa Ukerewe na Rais wa bunge la Afrika.
7. Sophia Simba - Aliwahi kuwa waziri Ustawi wa jaimii jinsia na watoto.
8. Dr Asha Rose Migiro- Naibu katibu mkuu UN.
9. Anna Kilango - Mbuge Same Mashariki
10. -----------
11. -----------
12. -----------

Je ni hao tu? List iendelee tafadhali!

Anna Abdalla huwezi kumuacha kwenye hiyo list...alichemsha mbaya wizara ya afya, angalau alikuwa anasaidiwa na Dr Hussein Mwinyi. Na mwingine ni Aisha Kigoda, huyu naye wizara ya afya hawataki hata kumsikia...alikuwa mtukanaji mzuri wa maDaktari, halafu mchawi kweli...alikamatwa 'laivu' anaroga Bagamoyo kwa mganga maarufu Sharifu!
 
Nimewakumbuka Lucy Owenya, Suzan Lyimo na Chiku Abwao ni wasinziaji wazuri mjengoni
 
Nampa dole Halima Mdee kwa kujumuika na wananchi CHAKO Ni CHAKO
Huyu kapewa upendeleo na Sir God manake hata sauti ni ya kiume. Ndo maana alijua siasa iko chadema akinguruma watu wanatega masikio mpaka hao mahara wa watu mjengoni. Hivi Vicky Kamata alivyoimbaga pale CCM kirumba mbele ya Mkuu ndo tiketi ya ubunge wa kuteuliwa????Kazi kweli kweli. Morogoro pale..former waziri...Singida pale Kifaa cha chuo...ukija huku masalia salia kuna wakina Vicky. yani ni full makoloni. Raha jipe mwenyewe. Tafsiri hii!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi karibuni kwenye kikao cha bunge kilicho pita spika ana makinda alijiongea posho na wenzake. Baada ya wadau mbali mbali kulalamikia suala hilo basi serikali kwa aibu wakasema posho hazina baraka za ikulu na kuzuia. Kwa masikitiko makubwa mh ana makinda akiwa kwenye mojawapo ya mikutano yake huko iringa alitangaza kutogombea tena ubunge na kwa sasa anajiandaa kujenga nyumba!kumbe kelele zote za posho ni ili ajenge nyumba?

Na hii kwa viongozi wana wake limekuwa kawaida harafu wakinyimwa nafasi kubwa wana lalama.hebu kumbuka zakia meghiji alikuwa waziri wa maliasili na waziri wa fedha madudu yake,angalia magreth sitta na uwaziri wa elimu?cheki blandina nyoni kisha sikitika kwa celina kombani?ana makinda anasema wabunge wengi wanataka kukimbia ubunge kwa kuwa maisha ni magumu na posho zimekataliwa?

Huyu mtu alipaswa kuwataja wabunge hao ili wana nchi waliowachagua ili kuwauliza kama wakati wanaomba uongozi walienda bungeni kufuata posho au kuwatetea na kisha maendeleo? Hawa ndio sampuli ya watu ambao wana magamba na wananchi wanasubiri maziwa na asali kutoka kwao.kazi kwenu wana jf nilitaka tu kuwakumbuka kwamba neema tanzania baada safari ni ndefu.

Huyu kwenye red nimesahau alifanya madudu gani tukumbushane tafadhali
 
Hiv Anna Abdallah yuko wapi siku hizi?

Yuko Bungeni kwenye vile viti vya upendeleo (maalumu) anaendelea kuvuta posho ya 330000 huyu mother yupo mjengoni kabla ya uhuru ameshazeeka hata sauti imekuwa nzito akisisimama kuongea ni kuisifia serikali. period
 
Hivi karibuni kwenye kikao cha bunge kilicho pita spika ana makinda alijiongea posho na wenzake. Baada ya wadau mbali mbali kulalamikia suala hilo basi serikali kwa aibu wakasema posho hazina baraka za ikulu na kuzuia. Kwa masikitiko makubwa mh ana makinda akiwa kwenye mojawapo ya mikutano yake huko iringa alitangaza kutogombea tena ubunge na kwa sasa anajiandaa kujenga nyumba!kumbe kelele zote za posho ni ili ajenge nyumba?

Na hii kwa viongozi wana wake limekuwa kawaida harafu wakinyimwa nafasi kubwa wana lalama.hebu kumbuka zakia meghiji alikuwa waziri wa maliasili na waziri wa fedha madudu yake,angalia magreth sitta na uwaziri wa elimu?cheki blandina nyoni kisha sikitika kwa celina kombani?ana makinda anasema wabunge wengi wanataka kukimbia ubunge kwa kuwa maisha ni magumu na posho zimekataliwa?

Huyu mtu alipaswa kuwataja wabunge hao ili wana nchi waliowachagua ili kuwauliza kama wakati wanaomba uongozi walienda bungeni kufuata posho au kuwatetea na kisha maendeleo? Hawa ndio sampuli ya watu ambao wana magamba na wananchi wanasubiri maziwa na asali kutoka kwao.kazi kwenu wana jf nilitaka tu kuwakumbuka kwamba neema tanzania baada safari ni ndefu.

Bi Kiroboto kashajichokea,maana hakujua kwa cheo chake anatakiwa awe na kauli yenye mashiko au ushahidi,WABUNGE ZAIDI YA NUSU WANATAKA KUACHA UBUNGE?AWATAJE JAPO KWA NUSU TU.POMPOMBO HUYO!
 
Back
Top Bottom