Amyner!

mimi sikutaki kwa sasa labda mpaka ushushe MZIGO...na mm ntapanda mbegu yangu hapo!kwa sasa aendelee mwenyewe.
Hahahahaaaaa mwanaume rijali hajali mizigo anakomaa tu kijentromani acha uoga BAGAH
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 pole ndiyo maisha, nimeona wengi wamecontribute kwenye kuvunja ndoa yako, lakini mmebaki imara! mpo juu kama avatar yangu! lol na we ukome kula visivyoliwa! si unaona vimenogewa mpaka wanataka kuvuruga sasa!?
Yan cacico kuna watu wana roho mbaya roho ya korosho....
Nakushukuru sana walau nafarijika sasa na kweli nimekoma kabisa kula mtaani kama street child lol
Ntakuwa nakula homeeeeeeee tena cha home huwa kinanoga sana aisee lol
 
heri umkatalie mwaya, namshangaa sana Erickb52, dili nicheze nae mie halafu anataka kunirusha mpunga.....

nitamchomea kwa Amyner mimi....we muache tu
Kuwa na subira nawewe lol
Mbona una haraka?
Ngoja BAGAH anaongea na mimi aone inakuwaje katika kumrithi mzee mzima
Kwa sasa hata ukinichomea kwa Amyner unajisumbua coz nimekuwa kijana mwema sana kuliko maelezo lol
Unacheza na Kibuti weye
 
Last edited by a moderator:
weeee...mimi ni zaidi ya robbot...najikunja mpaka nakua kama TAIRI...nikikunjuka...!!!aibu yao.kula ni kipaji changu kama unavoona avatar yangu.
Hahahaaa unakula halafu hunenepi tatizo nini BAGAH ?
 
Last edited by a moderator:
Hivi hapa kumetokea nini tena Asprin? Mbona sielewi
Niko Hommie Kaizer. Naona Erickb52 kashakujibu hapo chini

Kaizer kwanini unauliza hivyo? Asprin kapotea tangu jana haonekani nahisi atakuwa kwa Yummy kama alifanikiwa
Hommie unamjua Yummy? Ndo alikuwa matron kwenye ndoa yangu na BADILI TABIA.
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Yan cacico kuna watu wana roho mbaya roho ya korosho....
Nakushukuru sana walau nafarijika sasa na kweli nimekoma kabisa kula mtaani kama street child lol
Ntakuwa nakula homeeeeeeee tena cha home huwa kinanoga sana aisee lol
Erickb52 tena cha home unakula cha moto, kwa nafasi, bila woga wala kupaliwa, ukimaliza unashushia glass ya juice na kupumzika, kabla hujakaribishwa tena popcorn za sukari ndio muweke movie mpya! lakini vya kuiba........... mmmhh acha bwana, tena ukiri kukoma kabisa kula na walozi. mi wish u ol the best, uende na kule kwa Eiyer kasema hajui kutongoza ye bikira, ukamfundishe! lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom