Amyner..Miss you so Much!

hivi gfsonwin sio baunsa?

aisee tena usimchezee kabisa..............labda nikutajie sifa ni kubota ama Ferguson machine ni mtaalam wa aerobics na gymnastics ile mbaya. huwa anakaza sura kma jakline wolper na siyo mwoga kama wema sepetu.

ila usiwe na hofu wewe huwez kunichukulia ma swtlo Kaizer huyu zake huziwez aisee ni nyuz 360 vibration imo mfyonzo unahuu kwa sana. so hakuna mwenye qualifications hizo. nilijaribu tu kumpaka Asprin dawa aliuua wk nzima kwa ma vibration na nyie wote mliokwenda kukaguliwa akiwemo cacico mlichemsha. hapa ulipita msondo bana wa kianchali. chazeya mimi kungwi wa jf.
 
Last edited by a moderator:
Khaa! Umuogope mwanamke mwenzio?
Haipogo! Changamka na tenda!
Unasubiri kumnenepesha Ng'ombe siku ya mnada?
Ngoja nikaoge then nirudi hapa kujenga banda kwenye huu uzi .

wasiwasi kipimo cha akili wewe hujui? miye ndo kungwi na mbadala wangu haupo. hii gia zake 16 mbaula high na low anayeziweza ni ma swtlo Kaizer na yeye huko kote kaenda karudi na neno hili wewe peke yako ma love ndo unayeniliza. chezeya msondo weye wa kinanjilinji......
 
Kungwi mwenyewe mbona nina wasiwasi nae gfsonwin ?
Ni kungwi kweli au chenga tu?
 
Last edited by a moderator:
Nikwambie mie tena?
Nikuonyeshe my opponent?
U can't be serious.
Acha wivu Remmy
Kwani we siunajijua nyumba ndogo sasa shida iko wapi?
Nambie basi walau niwe na raha
Halafu kuna mtu alimboa ndio akapotea na ikiniuma zaidi namtaja mjiju
 
Last edited by a moderator:
aisee tena usimchezee kabisa..............labda nikutajie sifa ni kubota ama Ferguson machine ni mtaalam wa aerobics na gymnastics ile mbaya. huwa anakaza sura kma jakline wolper na siyo mwoga kama wema sepetu.

ila usiwe na hofu wewe huwez kunichukulia ma swtlo Kaizer huyu zake huziwez aisee ni nyuz 360 vibration imo mfyonzo unahuu kwa sana. so hakuna mwenye qualifications hizo. nilijaribu tu kumpaka Asprin dawa aliugua wk nzima kwa ma vibration na nyie wote mliokwenda kukaguliwa akiwemo cacico mlichemsha. hapa ulipita msondo bana wa kianchali. chazeya mimi kungwi wa jf.
Hahahaaaaa hapo naona gfsonwin unamtafuta Asprin ubaya hasa hapo kwenye bold...ina maana babu spana mkononi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom