Amwagia tindikali kwa kuhisi anatembea na mkewe

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Jamaa mmoja kutoka songea aitwaye kanuhumba
amemwagiwa tindikali na mmoja wa watu wanaemuhisi
anatembea na mke wake...akionyeshwa kwenye taarifa ya habari tbc jamaa huyo ambae alikuwa anahuzunisha kwa jinsi ngozi ilivyoaribiaka na kibaya zaid tulipoona mti uliomwagikiwa pia hiyo tindikali umekauka kabisa sasa tukajiuliza kama mti hivi binadamu ameumiaje..kijana huyo ambae alimwagiwa amehamishwa hospital nyingine baada ya kuwaeleza ndugu zake aliemmwagia ni mmoja wa ma dk wa hiyo hospital aliolazwa..akaogopa kupewa sindano ya sumu

kijana huyo amelalamika kwa huzuni hajawi kutembea na mkewe mhusika zaidi ya kuwa na uhusiano wa kibia.......
Haya kazi kwetu tutafanya na baba zetu sasa biashara
 
Sasa sijui watafanya na nani jamani ???
Heri uwe na mambo ys kimalawi kuliko ukutwe na mwenye mke live!!!
 
Back
Top Bottom