amtia mimbamama yake mzazi

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Someni hii nimeinyaka toka gazeti la leo la 'mwananchi' uk wa 20:
Mtoto amtundika ujauzito mama mzazi:
Kijana mmoja huko zimbabwe ameripotiwa kuwa na mahusiano na mama yake mzazi na amemtia mimba.Mama huyo Ethel Vanghae pamoja na mtoto wake Simon Matsvara wanatoka kijiji cha Pote,chinamhora.Wawili hao hivi sasa wametoweka baada ya chifu wa kijiji hicho kuamuru wakamatwe.
 
mungu atustiri na vizazi vyetu,inakuwaje mama unamvulia mwanao ulombeba tumboni mwako miezi 9.akhhhhh!
 
Binadamu wamekuwa kama kuku sasa! Hadi raha! Ndo maana naupendaga ule wimbo wa wale wakenya wanaimba; NINGEKUWA JOGOO, MADUU WOTE WANGENIKOMA! Full kujichanganya, kwa bibi, bcu, auntie, sijui kwa jirani, sijui bosi yani ndo dunia ya leo kama kuku! Dah!
 
Someni hii nimeinyaka toka gazeti la leo la 'mwananchi' uk wa 20:
Mtoto amtundika ujauzito mama mzazi:
Kijana mmoja huko zimbabwe ameripotiwa kuwa na mahusiano na mama yake mzazi na amemtia mimba.Mama huyo Ethel Vanghae pamoja na mtoto wake Simon Matsvara wanatoka kijiji cha Pote,chinamhora.Wawili hao hivi sasa wametoweka baada ya chifu wa kijiji hicho kuamuru wakamatwe.
ooh my dog!!!!!!:behindsofa:
 
ooh my dog!!!!!!:behindsofa:

ndugu yangu paa zinaficha mengi, story yenyewe ni ndefu na hiyo ni summary,yaani kajamaa kalianza kumparamia mama yake wakati baba yake yuko hai.
 
hako katoto si kake mkuu ebu soma vizuri ikiwezekana vaa miwani kabisa, maana inatisha kama mbuzi vile duuuuuuuu.
 
Zimejaa mpaka zinakosa watumiaji mtu anaenda kujipinda na mama yake?
 
I remember reading a story about a mother who wanted to marry his son, so I assume this is the sequel.. such a shame though
 
Someni hii nimeinyaka toka gazeti la leo la 'mwananchi' uk wa 20:
Mtoto amtundika ujauzito mama mzazi:
Kijana mmoja huko zimbabwe ameripotiwa kuwa na mahusiano na mama yake mzazi na amemtia mimba.Mama huyo Ethel Vanghae pamoja na mtoto wake Simon Matsvara wanatoka kijiji cha Pote,chinamhora.Wawili hao hivi sasa wametoweka baada ya chifu wa kijiji hicho kuamuru wakamatwe.

Huyo mama na mwanae wote wana laana! Uchafu gani huu?
 
Jamani mbona mnalalama? Ni haki za Binadamu hizo! Kufanya chochote upendacho ili mradi hufunji sheria. Sasa niambieni Dogo kavunja sheria ipi ya Dunia?

Kuna upendo gani ulio mkuu kuliko kumuondoa mama yako nyege zake? Waachani wajilie matunda ya uhuru kwa raza zao.

Bazazi ni Bazazi!
 
mungu atustiri na vizazi vyetu,inakuwaje mama unamvulia mwanao ulombeba tumboni mwako miezi 9.akhhhhh!

mtoto atakayezaliwa atapata mtihani kweli, sijui atamwita kaka/baba yake baba au kaka!!!!
 
Hivi walianzaje hawa au mama alianzisha toka dogo akiwa under fifteen maana asubuhi kojo likibana kitu huwa kinaenda winga vibaya kwa rika hili.
 
mtoto atakayezaliwa atapata mtihani kweli, sijui atamwita kaka/baba yake baba au kaka!!!!
Yani wamezini kwa siri mpaka wamekosa haya na mimba juuuu loh huyu mwanamke hafai kama ni mama nilazima upige marufuku nyumbani kwako anaweza kukuchukulia mumeo bila aibu...
 
Someni hii nimeinyaka toka gazeti la leo la 'mwananchi' uk wa 20:
Mtoto amtundika ujauzito mama mzazi:
Kijana mmoja huko zimbabwe ameripotiwa kuwa na mahusiano na mama yake mzazi na amemtia mimba.Mama huyo Ethel Vanghae pamoja na mtoto wake Simon Matsvara wanatoka kijiji cha Pote,chinamhora.Wawili hao hivi sasa wametoweka baada ya chifu wa kijiji hicho kuamuru wakamatwe.
Sijafanya utafiti wowote, lakini nabisha hii sikweli na sitaki mtu anihoji kwanini nabisha.
 
Jamani mbona mnalalama? Ni haki za Binadamu hizo! Kufanya chochote upendacho ili mradi hufunji sheria. Sasa niambieni Dogo kavunja sheria ipi ya Dunia?

Kuna upendo gani ulio mkuu kuliko kumuondoa mama yako nyege zake? Waachani wajilie matunda ya uhuru kwa raza zao.

Bazazi ni Bazazi!

Kwa hapa pIA WEYE UTAKUWA NA MATATIZO.lol!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom