Amon Mpanju:Tume ya Katiba ya Jaji Warioba iliongozwa na mihemuko kutunga Rasimu

chipoteka

Member
Jan 9, 2015
66
25
Akiongea ktk kipindi cha Morning Trumpet kinachorushwa na Azam Tv,aliyekuwa mjumbe wa Bunge la Katiba ndugu Amon Mpanju amesema tume ya Jaji Warioba na wajumbe wake waliongozwa na mihemuko na si weledi ktk kutunga Rasimu ya Kwanza ya katiba.Mpanju anasema vipengere vingi vya Tume ya Warioba vilikosa weledi wa kisheria zaidi ya mihemuko na historia ya chuki za kisiasa.Akitolea mfano wa kipengere cha ukomo wa muda wa ubunge,Mjumbe huyo anasema ni kitu kisichowezekana kuwapangia wananchi muda wa kutumikiwa na mbunge wao,amesema huo ni ukandamizaji wa demokrasia maana n kuwakatisha nia watu watakaokuwa wanahitaji huduma ya mbunge huyo kwa miaka mingine.

Pia ameleza kuwa kipengere cha elimu kilikuwa na dalili ya kuua demokrasia,kulazimisha mbunge awe na elimu ya kidato cha NNE ni kuvunja demokrasia,maana kuna wabunge wengine kama L.Lusinde ni darasa la saba lakini wanafanya kazi kubwa kuliko wabunge maprofesa na madokta ambao huishia kula bungeni.Bwana Mpanju amekosoa pia kipengere cha kumuondoa mbunge kwa kutohudhuria jimboni kwake au kumuondoa kwa sababu za ugonjwa kwa kipindi cha miezi sita,amekaririwa akisema hali hiyo ni unyanyapaa na kuingilia kazi ya Mungu kwani watu kuugua si kwa mapenzi yao,hivyo kipengere hiki kuondolewa ilikuwa ni halali sababu ilikuwa n moja kati ya vipangere vya hovyo kuwekwa na Tume ya Warioba.

Mpanju amewaasa wananchi kuacha kusikiliza maneno ya wanasiasa,wanaharakati na wajumbe wa iliyokuwa tume ya katiba kwani wamejaa upotoshaji.Amesema wengi wanatumiwa na mataifa kutoka nje ili kuutumia mchakato wa katiba kuvuruga nchi,amewaomba watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu kuipigia debe rasimu ya katiba Mpya na hatimaye kuipigia kura ya NDIYO wakati ukifika,kwani katiba hii pendekezwa imemtazama mtu mwenye ulemavu kwa mapana na uzuri kuliko kipindi chochote tangu Uhuru wa nchi hii.

Naye Mjumbe mwingine wa lililokuwa Bunge la katiba ndugu Yusuf Singo anasema wananchi waisome katiba na kuielewa kwani imepitia na kuwajali watu wa maeneo yooote,amesema Bunge lilikuwa na nguvu ya kisheria ktk kuirekebisha,kuikosoa na hata kubadili vipengere vya Rasimu ya Warioba kwani nayo ilikuwa na mapungufu meengi,bwana Singo amesema Tume ya Warioba pia nayo kuna mambo mengi iliyoyaleta ambayo hayakuwa mawazo ya wananchi kama vile swala la serikali tatu,ndugu Singo amekaririwa akisema wananchi wengi walitaka serikali mbili au ya mkataba,lkn Tume ya Warioba ikachakachua na kuleta serikali Tatu.

Pia ndugu Singo amesema wananchi waachane na wanasiasa walaghai bali wasome wenyewe Rasimu ya pili ya katiba,kwani imemjali mwananchi wa kawaida,yeye alizungumzika sura ya katiba Mpya pendekezwa inayomjali mfanyakazi,ambayo imetoa haki ya hifadhi ya Jamii,Afya na usalama sehemu za kazi ambapo rasimu ya Warioba haikuwa nayo,pia amesema rasimu ya pili imetoa nafasi ya mfanyakazi kugoma pale anapoona maslahi yake hayazingatiwi...hivi vyote havikuwepo ktk Rasimu ya Tume ya Jaji Warioba,Hivyo amewataka wananchi waipigie kura ya NDIYO rasimu ya pili ya Chenge kwani imezingatia matakwa ya wananchi wa hali ya chini ndani ya Taifa
 
Nilivyo Na Damu Ya Kunguni Naomba Tu Niseme " No Comment ".
 
Pamoja na maneno mazuri uliyoyatoa, Tanzania ina Katiba Inayopendekezwa wala haina "rasimu ya pili ya Chenge", Katiba hiyo imekuwa na msingi bora wa kujali na kuzingatia matakwa ya wananchi wate wa hali zote ndani ya Taifa hili.
 
Back
Top Bottom