Amkatakata Mpenzi Wake Wa Kike Sehemu Za Siri Kwa Kupenda Wanaume!

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Wana JF;

Hii niliisikia mapema wiki hii kutoka Clouds FM katika kipindi cha Leo Tena.

Kuna dada moja huko Mburahati ambaye alikuwa anapenda sana wanaume na alikuwa hachagui. Kila mwanaume mgeni anayefika mtaani lazima yeye afanye kila analoliweza hadi amnase kwenye anga zake. Alifanya hivyo kwa maslahi ya kupata pesa.

Tabia yake hiyo haikuwapendeza wengi, kwani huwa anafuata mwanaume yeyote "Mpya" na kumwacha wazamani "solemba" ili mradi yeye apate na aridhike. Hii iliendelea muda mrefu.

Ikatokea kuna Bwana aliamia pale mtaani na kama kawaida yule dada akawa wa kwanza na jamaa akakubali. Kumbe jamaa ajira yake ni "Kijana wa kazi Za Usiku" na Jambazi. Jamaa akawa anampa pesa nyingi sana yule dada kila anapopata.

Ikatokea akaja tena Mwanaume mwingine Mtaani, kama kawaida yule dada akamwacha Kijana Wa Kazi na Kwenda kwa Bwana Mpya. Naam! Yule Kijana wa kazi akapata habari na kisha kuhakikisha kuwa anachanganywa na kufanyiwa mchezo mbaya katika mapenzi wakati yeye anampatia kila kitu.

Basi bila yule dada kujua, Kijana wa kazi alimfuata akamwomba watoke na yule dada akakubali kwani alijua ni mambo ya mapenzi. wakaingia katika gari wakaenda hadi sehemu isiyo na watu kichakani. Jamaa akamwambia yule dada avue nguo yake ya ndani na kuinama na yeye akakubali akijua ni adventure katika mapenzi. Naam, alipoinama tu, jamaa alichukua wembe na Kuanza kuchana chana ndani kabisa ya sehemu za siri kila mahali huku damu zikimtoka, baada ya hapo jamaa akamwacha na kuondoka huku akimwambia sasa akagawe vizuri na kumwonya kuwa mambo anayoyafanya si mazuri.

Yule dada alipiga sana kelele (Sijui kama ilikuwa ni mbali na anakoishi au aliwapigia simu) na rafiki zake wakaja kumwokoa na kumpeleka hospitali ambapo mpaka nasikiliza hicho kipindi alikuwa bado amelazwa hospitali akiuguza majeraha.

Nasikia yule Bwana baada ya tukio hilo aliondoka kuelekea kwa bondeni kwa Madiba (south Africa)

Wadau sijui hii imekaaje?
 
Jamani mbona watu wakatili hivi? Hata kama huyo dada alikuwa mapepe, si angetafuta adhabu nyingine tu?

Hii ni kinyume na haki za binadamu!

Sipati picha ya maumvivu yake.

Pole zake huyo dada mwaya, ila na yeye akipona sasa aache ingawa sijui makovu yatakuwaje.
 
Kweli hii Kinyume na haki za Binadamu wangeachana kwa Amani kuliko kuachana kwa maumivu
Huyu dada ana Pepo la ngono msaada unahitajika kumnusuru
 
Jamani mbona watu wakatili hivi? Hata kama huyo dada alikuwa mapepe, si angetafuta adhabu nyingine tu?

Hii ni kinyume na haki za binadamu!

Sipati picha ya maumvivu yake.

Pole zake huyo dada mwaya, ila na yeye akipona sasa aache ingawa sijui makovu yatakuwaje.

Kweli bandugu ni kinyume cha ubinadamu kabisa.

Pamoja na unyama aliofanyiwa ambao binafsi siuafiki je, ni njia gani mbadala ya kuwafanya watu wenye tabia hii kama ya huyo dada waache?

Na huyu jambazi je tuna maoni gani?

Kuna uwezekano kuwa huyu dada akipona ataacha?
 
pole sana huyu dada, Mungu amsaidie apone, na aokoke, apate mwanaume wa kumuoa na atulie naye mmoja tu., lakini wadada wengine mjifunze kutokana na hili msije mkaingia kwa majambazi kama mwenzenu alivyofanya. kuna raha gani kuvua nguo zako na kuonyesha maumbo yako kwa kila mwanaume, unajisikiaje unavyo tembea hata barabarani, ni sawa tu na watu wanaocheza ponography, hebu jiheshimuni jamani.
 
huu ni unyama mkubwa. kwanini asimwache tu kama amegundua si mwaminifu? watoto wengi tu! au ndo alishagharimika kibao?
 
Duh, cjui anajisikiaje pale anapoulizwa, "unaendeleaje?". Na 'kule' jinsi kulivyo cjui atapona lini huyo, na akishapona bado atakuwa na soko la 'biashara' yake kweli? Doh, kweli asiyefunzwa na mamaye ......
 
Jamani mbona watu wakatili hivi? Hata kama huyo dada alikuwa mapepe, si angetafuta adhabu nyingine tu?

Hii ni kinyume na haki za binadamu!

Sipati picha ya maumvivu yake.

Pole zake huyo dada mwaya, ila na yeye akipona sasa aache ingawa sijui makovu yatakuwaje.

kwani jambazi anazijua haki za binadamu??
labda tuwatafute kwanza majambazi wote, kisha tuwape hiyo elimu ya haki na stahili za binadamu.
wakizikiuka ndipo tutajua nini cha kufanya...
wallah kaka jambazi hana masikhara kazini.
 
ni hivi, ukitembelea miti ambayo kuna kunguru wa pemba wengi, basi wakikunyea usilalamike....ni unyama wa ajabu kusema kweli, kwasababu sijui alicharanga vipi, kama ndo ameharibu shepu kabisa,uyo dada atavua nguo kwa mtu mwingine aone kitu kinavyocheka kwa mdomo upake au ikiwa imepinda sijui, kama ni kilema ndo basi tena, kama kidonda kitaanza kuoza ndani kwa ndani kama aliingiza kiwembe sijui, cha maana ni kumwambia dada pole, si yeye, ni shetani aliyemfanya awe kipanga hivyo, anaweza kubadilika kuwa mmama mzuri tu akiokoka.

ni ajabu, mtu anaambiwa avue nguo anavua, afanye vyovyote anafanya, na wabongo walivyo waajabu jamani, macho yetu haya yangefumbuka tukawa tunaona kila kinachotendeka gizani mbona tungekimbia tukaishi sayari nyingine labda. mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele.

Yesu amekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea, hata nyie mnaoongea hapa kama hamjaokoka, shetani anao uwezo kuwafanya vyovyote vile, mnaweza kucharangwa vile vile siku moja na mtu ambaye unamwamini sana, huwezi jua bwana. cha muhimu, mbebe mpenzi wako kama mmeoana, mpeleke kanisani mkaokoke, ndo pona yenu. kama hautafanya hivyo, wakati wowote anaweza akabadilika akawa simba, akakupiga mangumi, kama hatakucharanga anaweza kukutoa meno, kama hatakutoa meno anaweza kukutoa jicho. lolote laweza kutokea kama watu bado mnaishi gizani na kufuata dini za kibinadamu. HAPO SIJAONGELEA UKImwi, WAKATI WOWOTE MWAWEZA KUPATA UKIMWI, hakuna ulinzi hapo.
 
Hakuna cha msaada hapo huyo kapata alichokuwa anakitaka, kwanini alishindwa kujiheshimu? aaaaaah! alizidi jamani he?
 
huu ni unyama mkubwa. kwanini asimwache tu kama amegundua si mwaminifu? watoto wengi tu! au ndo alishagharimika kibao?

Nadhani huyu dada ndo alikuwa wa kwaza kumwacha jamaa.

jambazi alichofanya ni kumpa adhabu na kuishia zake.

Labda swali la msingi ni: Je sisi kama jamii, tunajufunza nini kutokana na kisa hiki cha kweli?
 
Duh, cjui anajisikiaje pale anapoulizwa, "unaendeleaje?". Na 'kule' jinsi kulivyo cjui atapona lini huyo, na akishapona bado atakuwa na soko la 'biashara' yake kweli? Doh, kweli asiyefunzwa na mamaye ......

Jamani wanaojua watusaidie kuwa: Je ukiumia sehemu soft kama vile kupona inakuwaje? Ni kama ukiwa na kidonda ndani ya shavu?
 
Sasa huyu naye! Anaganga wapi huko? Kwani huko anakotembeza makali ya wembe ndo ilipo shida? Shida iko kichwani kwa Mama-cha-wote. Alitakiwa shughulikia juu!
 
kwani jambazi anazijua haki za binadamu??
labda tuwatafute kwanza majambazi wote, kisha tuwape hiyo elimu ya haki na stahili za binadamu.
wakizikiuka ndipo tutajua nini cha kufanya...
wallah kaka jambazi hana masikhara kazini.

Mkuu wanazijua hata bila kufundishwa. Ni utu tu unakuwa umewatoka.

Ingawa kuna hoja kuwa: Je huyo dada anayofanya ni haki kibinadamu? Je na maumivu ya kisaikolojia anayowaachia victims wake na yale ya yeye kukatwa katwa ni yapi zaidi?
 
ni hivi, ukitembelea miti ambayo kuna kunguru wa pemba wengi, basi wakikunyea usilalamike....ni unyama wa ajabu kusema kweli, kwasababu sijui alicharanga vipi, kama ndo ameharibu shepu kabisa,uyo dada atavua nguo kwa mtu mwingine aone kitu kinavyocheka kwa mdomo upake au ikiwa imepinda sijui, kama ni kilema ndo basi tena, kama kidonda kitaanza kuoza ndani kwa ndani kama aliingiza kiwembe sijui, cha maana ni kumwambia dada pole, si yeye, ni shetani aliyemfanya awe kipanga hivyo, anaweza kubadilika kuwa mmama mzuri tu akiokoka.

ni ajabu, mtu anaambiwa avue nguo anavua, afanye vyovyote anafanya, na wabongo walivyo waajabu jamani, macho yetu haya yangefumbuka tukawa tunaona kila kinachotendeka gizani mbona tungekimbia tukaishi sayari nyingine labda. mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele.

Yesu amekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea, hata nyie mnaoongea hapa kama hamjaokoka, shetani anao uwezo kuwafanya vyovyote vile, mnaweza kucharangwa vile vile siku moja na mtu ambaye unamwamini sana, huwezi jua bwana. cha muhimu, mbebe mpenzi wako kama mmeoana, mpeleke kanisani mkaokoke, ndo pona yenu. kama hautafanya hivyo, wakati wowote anaweza akabadilika akawa simba, akakupiga mangumi, kama hatakucharanga anaweza kukutoa meno, kama hatakutoa meno anaweza kukutoa jicho. lolote laweza kutokea kama watu bado mnaishi gizani na kufuata dini za kibinadamu. HAPO SIJAONGELEA UKImwi, WAKATI WOWOTE MWAWEZA KUPATA UKIMWI, hakuna ulinzi hapo.

Mtu wa Mungu nadhani pia unayo taarifa ya visa vingi vya ngono vinavyofanywa kwa vivuli vya kanisa au misikiti. sina haja ya kusimulia.

nadhani pamoja na kumrudia mungu, ni vema suala zima la ubinadamu likazingatiwa. Ninao uhakika kuna watu ambao ni wema na wenye utu na wala hawahui mlango wa Kanisa wala msikiti. hao nao watakuwepo mbinguni.
 
jamani sijui ni maumivu ya aina gani anayofil huyo dada asiyetosheka na hiyo ndio faida ya kuwa mpenda ngono
 
Hakuna cha msaada hapo huyo kapata alichokuwa anakitaka, kwanini alishindwa kujiheshimu? aaaaaah! alizidi jamani he?

Huenda alikuwa na tamaa ya pesa, au alikuwa anapenda ngono na watu tofauti tofauti kama sehemu ya tabia au hobby yake au labda syle ya maisha aliyoichagua.

Wewe unaonaje?
 
Back
Top Bottom