Amini usiamini wimbo huu ndio mzuri kuliko zote duniani!....

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
marc anthony-everything you do ambao upo katika album ya MENDED ya mwaka 2002,wimbo wa 13.Ndio wimbo ambao kwangu mimi ndio mzuri kuliko zote duniani.Ukifuatiwa na next to you by chris brown..Kama unabisha taja Wewe wimbo utaoufunika huo.
 
i love your taste.. Those are my favorites too.. But not in the whole world!
 
but kwa upande wangu mimi sijaona zaidi ya hiyo big up sana marc!! Mkuu najua unafahamu ni namna gani jamaa alivyoumiza kichwa humo!
 
One call away by Chingy ni wimbo ninaokubali kinoma maana hata kidemu changu nikipata kwa swaga za huu wimbo
 
Back
Top Bottom