Amini usiamini watafanya usaniii

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Watawachukua majambazi wanaowafahamu, watawatesa na kuwaambia wakubali kuwa ndio waliomteka daktari,watatangaza kwa mbwembwe na hata kuwafiksha kortini...lakini kama ilivyo hulka ya binadamu tutasahau taratiibu na wao watapata mwanya...baadae utaambiwa mtuhuiwa kafia mahabusu. Kumbe wamemwachia huko msumbiji na hata kumuua kabisa
Zombe alituonyesha pesa za uongo akidai zimeporwa Bidco,wenye pesa wakakanusha
hata Kombe walimuua na mpaka leo ni viinimacho
Morogoro wakakamata vibaka defender nzima eti ndio wataalamu wa kumalima....then after?ak47ipo wp?
Kama ni kweli tetesi zilizozagaa kuwa kuna mhusika mwenye cheo kikubwa amebainika jana basi ni KASHFA kubwa kwa TPF na wizara ya mambo ya ndani...kuanzia waziri,DCI,IGP kamanda wa kanda,kamanda wa mkoa,kamanda wa upelelezi wa kanda na wa mkoa wanatakiwa kujiuzulu mara moja.na huyu anaetajwa akashikiliwa pia
 
Connecting the dots...kova alitutangazia kuwa wanazo taarifa tayari na wanazifanyia kazi..hope watazigeuzageuza na kutupa taarifa rasmi isiyo kweli
 
Yametimia...wametukamatia chizi wa Gwajima wannasema ndio mtekaji.....
 
Ngoja kwanza, watahamishia focus kwenye ajari ya meli. Episods haziishi ndani ya nchi hii.
 
Ngoja kwanza, watahamishia focus kwenye ajari ya meli. Episods haziishi ndani ya nchi hii.
Inasikitisha sana.....yaani kuwafanya watz mazezeta.... Jamani ee mtaji upo mfukoni,kujiandikisha na kupiga kura..wakileta pesa ZETU,unakula na kura yako ya siri unampigia mwanamapinduzi
 
Back
Top Bottom