Amini usiamini Tembo ageuka ndege aruka juu ( Shia miracle that shook New York airport on Thursday)

Hiyo ya tembo , lilikuwa Tangazo la kutetea haki za wanyama. lilikuwa likionyeshwa sana DW tv ktk kipindi fulani, hakuna maajabu wala nini bali ni picture manipulation tu!
 
UMENIKUMBUSHA KATUNI YA DUMBO........

dumbo.jpg
 
Back
Top Bottom