Amini usiamini, ndo hali halisi

Unajua ukifuatilia hawa maandazi si wazima, yani magufuli anapigia kelele ubora wa barabara mfano mzuri barabara ya kilwa, huku watu wanafanya yale yale, hawa maandazi hawaogopani. Na hao wananchi wanahesabu wamepata ajira! wanajinyonga wenyewe, barabara ikiwa mbovu si ni yao. Kweli umaskini na ujinga viatadumishwa kwa wengi nchi hii. Tunaomba jina na picha ya mkandarasi bandugu, baadae vitakuwa na mchango mkubwa,pa1
 
barabara kuu itokayo babati kwenda galapo mkandarasi kaajiri raiya wanasambaza moramu kwa jembe la mkono picha ntaweka baadae
my take: kagawa pesa na wakurugenzi walio toa tenda pesa ya greder imekosekana

Dr Pombe Magufuli anazo hizi taarifa???
 
Magufuli kajifungia ndani anakariri vifungu vya sheria.Mhhhh misifa tu.........
 
Unajua ukifuatilia hawa maandazi si wazima, yani magufuli anapigia kelele ubora wa barabara mfano mzuri barabara ya kilwa, huku watu wanafanya yale yale, hawa maandazi hawaogopani. Na hao wananchi wanahesabu wamepata ajira! wanajinyonga wenyewe, barabara ikiwa mbovu si ni yao. Kweli umaskini na ujinga viatadumishwa kwa wengi nchi hii. Tunaomba jina na picha ya mkandarasi bandugu, baadae vitakuwa na mchango mkubwa,pa1
Naam mkuu tupe hako kapicha na details zingine kama vile tenda kapewa na Halmashauri au TANROADS. Hapa nchini kuna barabara za Mwanri na barabara za Dr. Magufuri hivyo si kila barabara atalaumiwa Dr. Magufuri. Niliona juzi kati Mwanri akikemea upunguzaji wa upana wa barabara huko Ludewa.
Pia mkuu ukisaidia tukajua urefu wa barabara manake inaweza ikawa ni eneo fupi hivyo ikawa uneconomical kutumia grader badala yake labour ikatumika.
 
Kuna wakandarasi huko kwenye halmashauri hawastahili hata kujenga nyumba za matope. Wanapewa majengo ambayo hata kabla ya kuanza kutumika yanahitaji kufanyiwa ukarabati mkubwa. Naona sasa bodi ya wakandarasi pia iwe makini kujua anayetaka kufanya biashara ya ujenzi kama ana vigezo vingine vya kiutaalamu vya kuzifanya kazi hizo. Vinginevyo tusubiri kuona kazi mbofu mbofu kila upande
 
Tunaomba jina la kampuni na la mkandarasi mara moja. Hizo ni kodi zetu tunakatwa kila mwezi aisee. Kama kuna ufujaji hapo JF tupige kelele hadi hawa watu wachukuliwe hatua. Nina hasira zaidi kwa sababu mshahara nliopata mwezi uliopita umeisha baada ya kuipunguza kwa ajili ya ujenzi wa taifa. Wahusika acheni kutuharibia siku. Tuanomba taarifa kamili na sahihi tulivalie njuga. Tumechoka kuwafanyia manyang'au wachache kazi. ah inauma sana
 
barabara kuu itokayo babati kwenda galapo mkandarasi kaajiri raiya wanasambaza moramu kwa jembe la mkono picha ntaweka baadae
my take: kagawa pesa na wakurugenzi walio toa tenda pesa ya greder imekosekana
hio picha utaweka saa ngapi?au kesho?
 
Naam mkuu tupe hako kapicha na details zingine kama vile tenda kapewa na Halmashauri au TANROADS. Hapa nchini kuna barabara za Mwanri na barabara za Dr. Magufuri hivyo si kila barabara atalaumiwa Dr. Magufuri. Niliona juzi kati Mwanri akikemea upunguzaji wa upana wa barabara huko Ludewa.
Pia mkuu ukisaidia tukajua urefu wa barabara manake inaweza ikawa ni eneo fupi hivyo ikawa uneconomical kutumia grader badala yake labour ikatumika.
Hii sayansi-uchumi ulisoma wapi?
 
Nimefuatilia habari hii

Mkandarasi ni kampuni ya ujenzi ya mbunge wa babati mjini sijui anaitwa nani..lakini ni jina kama la mkurya au mtu wa musoma hivi aliwahi kuwa mbunge huko musoma akatoswa na wananchi kwa ufisadi akaenda kwa wamburu/wafyomi akahonga akapata ubunge..

Nafikir wako kwenye paybak period
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom