Amini amini nawaambia, dhambi ya uzinzi isingekuwepo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,804
Trust Me, Amri ya sita ingesema "ZINI KWA NGUVU ZAKO ZOTE, AKILI ZAKO ZOTE na MOYO WAKO WOTE tena KWA IDADI YA WANAWAKE/WANAUME UTAKAYOWEZA"

hakuna mtu angezini while now inasema USIZINI ila imekuwa ndo Amri inayoongoza kwa kuvunjwa ulimwenguni...
 
Hujui kama "HARAMU" tamu?
We vp, tena na gonjwa letu hili lisingekuwepo! Acha bwana,
TUNGEFAIDIJEEE...!!
 
Trust Me, Amri ya sita ingesema "ZINI KWA NGUVU ZAKO ZOTE, AKILI ZAKO ZOTE na MOYO WAKO WOTE tena KWA IDADI YA WANAWAKE/WANAUME UTAKAYOWEZA"

hakuna mtu angezini while now inasema USIZINI ila imekuwa ndo Amri inayoongoza kwa kuvunjwa ulimwenguni...

RED: Hiyo ni wrong information statistically....Kwa sababu kwa mfano ili dhambi moja ya uzinzi ifanyike amri ya usiseme uongo huvunjwa zaidi ya mara moja...ukivunja amri zote hizo unakuwa hujampenda Mungu hivyo unavunja mara nyingi zaidi amri ya kwanza.....So we have to believe you, you say?
 
Trust Me, Amri ya sita ingesema "ZINI KWA NGUVU ZAKO ZOTE, AKILI ZAKO ZOTE na MOYO WAKO WOTE tena KWA IDADI YA WANAWAKE/WANAUME UTAKAYOWEZA"

hakuna mtu angezini while now inasema USIZINI ila imekuwa ndo Amri inayoongoza kwa kuvunjwa ulimwenguni...

Ni mtizamo wako.
 
Kwahio wapagani sababu hizi amri haziwahusu, hawazini ?

Sun Wu,
Amri kumi za Mungu ni kwa Wanadamu wote, wa-dini zote, wasionadini (wapagani) na hata wasioamini na wasiolewa!!! ndo maana siku ya mwisho hakuna "... samahani BWANA....."
 
Lol forbidden things are the sweetest!
It ain't true its just because you don't have them often enough they seem sweeter.., example a trip to your favorite restaurant to eat dinner (if done everyday would seem monotonous and would not be as fun).

But in the above example its like saying if people were being charged to use oxygen nobody would use it.. (but alas if they wouldn't they would die), Hence the kuzini in people will and would be there regardless.
 
Yeah you are very right Sun wu! we dontusually have them that is why we steel and enjoy them lol.
 
Sun Wu,
Amri kumi za Mungu ni kwa Wanadamu wote, wa-dini zote, wasionadini (wapagani) na hata wasioamini na wasiolewa!!! ndo maana siku ya mwisho hakuna "... samahani BWANA....."

Mkuu kwanza kabisa amri kumi za Mungu ni za wanaoamini (sababu wasioamini hayo mambo hayawahusu) ingawa morally amri zote zinakufanya uwe a better person (kasoro labda ya usitaje bure jina la Mungu wako) kwahio hata kama hii amri ingekuwa haipo morally na kwa jamii ingekuwa haifai.., just imagine umekaa mtu anakuja anazini na dada yako wewe unazini na mke wa jirani yako ambae anazini na mtoto wako (hii inge-cause chaos na vurugu na watu wangeuana).., hivyo basi dini yoyote ambayo ingesema hili lifanywe ingeogopwa kama ukoma.

Kuhusu kutokujua kuhusu dini hakuna msamaha (hii sio court of law) kama mtu hajui kama anachofanya ni kosa (mfano kichaa, au watu ambao wapo sehemu ambako hakuna imani fulani) huwezi kuniambia hata kwa kutumia imani yako kwamba hawa watu watahukumiwa.
 
Yeah you are very right Sun wu! we dontusually have them that is why we steel and enjoy them lol.
Exactly if they were in abundant, then no one would care.., but the thing about kuzini its not like you will zini continuously, you will today and be fulfilled but after a week after you would want to repeat the experience.

I think the fun and enjoyment is in the action, not the act of stealing.., (an in case of kuzini even if its not stolen its still fun, but the difference is, in-case of a spouse its there in abundance that why (people think it does not feel as good) while in actual sense its the same, (so if the wife/husband provide it in small portion, lets say once a month that day would be a great day of the month) :)
 
Mbwa wanangonoka kwa ajili ya kuzaa. Binadamu wanangonoka kwa ajili ya kumkomoa Mungu.
Wanazini na hawataki watoto, wakipata mimba wanatoa, wakizaa wanatupa watoto majalalani.
huu ni ukweli mtupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom