Amina Mtengeti AKA Radhia Msuya

amina mtengeti yupi tena,mbona mnatuchanganya jamani?.

Mkuu hapo unachanganyikiwa na nini? Amina Mtengeti na Radhia Mtengeti Msuya na Asharose Mtengeti Migiro na Mwantumu Mtengeti Malale na Farida Mtengeti Simba na Rehema Mtengeti ni sisters of the same father and mother!
Amina Mtengeti ndiye aliyefariki jana! Hope nimekusaidia usichanganyikiwe
 
Thanx Mkuu naona ameshaelewa
 
maelezo ya ziada

http://www.mashughuliblog.com/2010/04/harusi-ya-munga-shabani-mtengeti-lunch.html?m=1
 
Je huyu mama ni mtu mmoja?Watu wa Mambo ya Nje tuambieni!
Hico cheo chake ni kwa Merit au Chakula cha wakubwa?
Hivi ndugu yangu umeshindwa kuuliza kwa staha? maana yako ni nini hasa kumkashifu mtu mwenye heshima zake ? Au kwa vile ni mwanamke???
 
Hawa wote upstairs zao ziko bomba sana na ni wachapa kazi wazuri sana. Huyu ni mdogo wa Kingunge mmoja pale UN (jina kapuni) na dada yake mwingine ni VC pale University ya Waislamu (jina kapuni...nadhani hajaondoka) JF sasa hivi inaelekea mahali pabaya sana ya watu kutumia ukumbi huu kuanza kuwachafua Watanzania wenzetu bila hata ya kutoa ushahidi wa hicho wanachokiandika. Ikiendelea hivi basi inaweza kabisa ikawa Ze Utamu nyingine.

BAK nimeipenda hii comment yako ambayo uliitoa miaka kumi iliyopita!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duh ila Jiwe amepoteza wengi kwenye ramani aisee..... Maana hawa wote wamepotea hata kwenye ujumbe wa nyumba kumi hawasikiki. Ama kweli aliyedhania kwamba watakaoisoma number ni wa upande ulee..alikosea kabisa.

Jiwe ni shida! I hope na yeye wateule wake hawatapotezwa akiondoka........Maana hili taifa letu tukufu..tunalijua wenyewe..
 
Back
Top Bottom