Amina Chifupa

MOD hamisha hii siyo mahala pake. Ukiacha swala kuwa alikuwa mke wa Mpakanjia vilevile alikuwa hana kumgawia penzi mtu yeyote
 
MOD hamisha hii siyo mahala pake. Ukiacha swala kuwa alikuwa mke wa Mpakanjia vilevile alikuwa hana kumgawia penzi mtu yeyote
Kama aligawa penzi inahusu nini? mbona maraisi wetu tunawajadili na vimada wanao? swala ni mwanasiasa na atajadiliwa jukwaa la siasa chuki mpaka nukta unasema koma?
 
kwa wanasema alifanya kitu na mkaona alifanya nini?
mpeni vigezo sio kuweka ligi tu kama aliyoweka yeye
wekeni hata kakitu kamoja kushikilia husemi wenu ili na yeye apime sio
kuo sharubu tu
 
MOD nadhani anajua who is Amina?.Na alikuwa ni nani kati taifa hili?Na hili ni jukwa la nini?.Kama hukuyaona yale aliyoyafanya amina ni wewe binafsi!.
 
Pole kwa kumkumbuka,japo mie sikuona chochote alichofanya kwenye siasa....Peleka kwenye celebrity forum mkuu.............

Acha tu nisitukane, Hivi kwa kuwa tu wewe hukuona alichofanya kwenye siasa basi asikumbukwe hapa???? Wewe ni nani hapa JF??? Mijitu mingine bana
 
enhe hukwa na lolote uyu binti alikuwa anatafuta sifa kama kawaida yake bungeni alizani yupo kwenye u mcs au utangazaji alafu nawewe mtoa mada ni mwaka wa 4 tangu afe
 
Kama hukuona wengine tuliona mkuu, hata marehemu unamtolea macho?

Ukweli huko wazi...hakuna alichofanya,kama unayo weka hapa kwenye forum.....usitake tukaongea maneno mengine mabaya kwa mtu aliye-marehemu..........
 
Ukweli huko wazi...hakuna alichofanya,kama unayo weka hapa kwenye forum.....usitake tukaongea maneno mengine mabaya kwa mtu aliye-marehemu..........
Maelezo ya thread yanatosha kukueleza moja kati ya mambo mema aliyoifanyia jamii ya kiTz.
 
never talk bad things abt a person who cant defend him/herself.kwa hiyo mnaohukumu watu waliofariki mtahukumiwa na nyie.
 
PENGINE NDO WALOMUUA, YANI MTU HATUNAE TENA UNAPAMBAAAANA, KWANI ALIKUFANYA nini, mwache rip, Amina. kama ulifanya au hukufanya we ni muheshimiwa tu. ndo mana tpdf wanatoa salut kwa marehem yeyote hat akiwa kibaka wakionaa marehemu wana salut ameshatangulia wacha akajibu huko. kwa muumba wake
Kama hukuona wengine tuliona mkuu, hata marehemu unamtolea macho?
 
Ameen to rest in peace but inakua kama vile ulitaka tu kurusha uzi na hukua na topic marehemu kweli alikua na nia njema but bado hakufanikiwa.
 
Wadau kama kuna anayejua kuna uzi humu jf inayomhusu huyu mwana dada aliyeaga dunia nadhani 2007 anisaide ili niweze kuusoma vizuri. Maana hiki kisa kilichompata natamani kukijua kiundani.

Natanguliza shukrani.
 
Alikufa akiwa Binti Mdogo Sana wa 26!! Remember Amina Next Time you Vote!!


 
Back
Top Bottom