Amina Chifupa kupokea vitisho na hatimae kufariki. COINCIDENCE?

Muanzisha hii thread umeleta thread ili ufananishe na kutishiwa kuuwawa kwa Slaa, na Mnyika...Amin alifariki kwa maradhi ya kibinadamu wala hakuwawa.
Vitisho hamvipingi! mnaongelea kifo tu, tuwaeleweje? au tuwape muda mjipange upya?
 
Mkuu Ritz, binafsi sijui kama aliuawa ama la, ila naelewa kuna maradhi ya 'kibinadamu' yanayosababishwa na binadamu kwa kusudi la kuua bila kuchochea udadisi.
Say Renal failure sababu ya sumu labda (kumbuka, inaweza kuwa na sababu zingine za kibinadamu) au hata wale wanaosema UKIMWI, coz basically ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini, ambapo kuna several causes to this as well za 'kibinadamu', lakini pia sumu inayoweza kuathiri sehemu seli za mwili zinapotengenezwa (bone marrow) ikiwa moja wapo. Hapa mtu hupata upungufu wa kinga na dalili zote ambazo zinahusika nao.

Kwa hiyo basi unaweza kuuwawa kitaalamu kwa kupewa kitu kinachoweza kusababisha maradhi ambayo bila uchunguzi wa kutosha, hasa katika mazingira kama yetu (yasiyo na vipimo mahsusi na yaliyojawa na magonjwa yanayodhaniwa kuwa ya 'kawaida kwa watu fulani') huonekana ni 'matatizo ya kibinadamu' na hivyo kufifisha udadisi zaidi.

Mkuu Bob
Nimeipenda hii sana!! Waelimisha hao!!
 
mother mother why was i born black? NO, NO, Mother mother why was i born a Tanzanian, and why was i born mpole like this?
 
CCM siku zote ni wauaji, walimuua Chacha wangwe Kamanda mtiifu kwa wanatarime sasa wanataka kuuaminisha umma kwamba aliuwawa na CDM kitu ambacho hakiingii akilini. ripoti ya uchunguzi wa kifo chake haikuwekwa wazi. Muuaji ambaye alikuwa ni dereva wake alisha achiwa huru na kulipwa chake CCM. Baada ya kamanda wa wanatarime kufa sasa wafuasi wake(wanatarime kwa ujumla) sasa wamekua chakula cha mwekezaji Barrick kwa kushirikiana na Mabwepande(CCM).wanawaua kwa risasi kwa kadri wanavyojisikia. wito wangu ni kwamba wanatarime tuungane tumtoe mkoloni Barrick kwa mapanga yetu, rungu zetu, pinde zetu, mishale yetu, mikuki yetu na hata kwa kutumia watoto wa mungu(Mawe) lakini tuhakikishe anatuachia nchi yetu. Ekyaro nkerayi, tobhoke.
 
pamoja na matatizo ya kiafya aliokuwa nayo. hakuna akieingilia mtandao wa wauza unga akabaki hai. makonda alicheka na watumiaji.
 
CCM siku zote ni wauaji, walimuua Chacha wangwe Kamanda mtiifu kwa wanatarime sasa wanataka kuuaminisha umma kwamba aliuwawa na CDM kitu ambacho hakiingii akilini. ripoti ya uchunguzi wa kifo chake haikuwekwa wazi. Muuaji ambaye alikuwa ni dereva wake alisha achiwa huru na kulipwa chake CCM. Baada ya kamanda wa wanatarime kufa sasa wafuasi wake(wanatarime kwa ujumla) sasa wamekua chakula cha mwekezaji Barrick kwa kushirikiana na Mabwepande(CCM).wanawaua kwa risasi kwa kadri wanavyojisikia. wito wangu ni kwamba wanatarime tuungane tumtoe mkoloni Barrick kwa mapanga yetu, rungu zetu, pinde zetu, mishale yetu, mikuki yetu na hata kwa kutumia watoto wa mungu(Mawe) lakini tuhakikishe anatuachia nchi yetu. Ekyaro nkerayi, tobhoke.
Aisee

Haya mambo mbona makubwa sana
 
Back
Top Bottom