Amina Chifupa jasiri wa Mlongo ulioisha

majata

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
431
179
Lazima tuige ujasiri wake kwa manufaa ya taifa mpende msipende, lazima aenziwe vema ni jasiri ambaye watu wamemsahau nikielelezo tosha kwa vijana wote wanaopenda mabadiliko.

Sio kuficha majina ya wauza unga.

Mlongo ulioisha

Lakini lazima tujiulize? Nadhani majina yakiwekwa hadharani kuna chama kitakuwa uchi wa mnyama kabisa, haiwezeka lika siri hata raisi analiogo?

hivi ni mlongo muongo au miongo (kipindi cha miaka 10)
Apumzike kwa amani, ingawa nae alitishia tu kuwataja. She didn't come out with a single name!

alikuwa JASIRI MARA KUMI YA JK kwa kitendo chake cha kusimama hadharani na kuwa expose wauza unga wa jijini DSM kuliko JK ambaye
kila siku kutuambia wauza anawajua lakini hawataji huu ni unafiki mkubwa .

Lazima tuige ujasiri wake kwa manufaa ya taifa mpende msipende, lazima aenziwe vema ni jasiri ambaye watu wamemsahau nikielelezo tosha kwa vijana wote wanaopenda mabadiliko.

Sio kuficha majina ya wauza unga.
umesema kweli

INAWEZEKANA ALITAJA COZ ALITOA MAELEZO KWA MUDA MREFU POLISI KISHA BAADA YA HAPO AKAWA MGONJWA THEN NO MORE!HOW FAR ARE YOU SURE JESHI LA POLISI HALIJUI ?
Sasa kama unatumia neno inawezekana bado unaamini vipi kuwa alitaja? All in all hakuthubutu kutaja mtu as far as the public is/was made aware of. kama wewe ni polisi na alitaja kwako mlipomhoji kwa muda mrefu, public haijui hivyo hata uthubutu wake to me is doubtful!

Hii nchi kweli wap.u.mb.a.vu ni wengi......................hivi ni kipi hasa kinachompa Amina ustahili wa kuitwa shujaa? ni porojo zile za kuwataja wauza unga? Kafa kwa magonjwa yake watu wameng'ang'ania eti kauwawa! mbona mumuwe alipomfuata kwa ugonjwa wenye dalili zilezile za mkewe hamkusema kama kauwawa...............embu tuache huu ujing.a! Kama angekuwa shujaa angewataja hadharani badala ya kutishia nyau. RIP in peace Amina.

Similar Discussions

Back
Top Bottom