Massenberg
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 1,173
- 1,370
- Thread starter
- #21
hivi, hiyo fomu imeanza kufanya kazi mwaka huu? Au mleta mada utuambie tusiyojua
Kwa haraka haraka tu, mfano nenda kwenye tovuti ya ubalozi wa Tanzania Uingereza halafu nenda section ya viza, click hapo kisha utapata sehemu ya ku-download hiyo fomu. Imekuwa hivyo ilivyo kwa miaka kadhaa sasa.