Amfumania mumewe akipopolewa na hausi boy

Shosti na wewe bwana...ni huyo tu mmoja sio wote bwana....WaKIUME huyo

Halafu mwanaume akiwa hivyo si anajulikana tu! Hereni, cheni vipodozi (vya kike) nasikia hata wale wanaoshushaga suruali chini ya makalio wengine wana maana hiyo. ......... Eti sharobaro kumbe....!
 
Halafu mwanaume akiwa hivyo si anajulikana tu! Hereni, cheni vipodozi (vya kike) nasikia hata wale wanaoshushaga suruali chini ya makalio wengine wana maana hiyo. ......... Eti sharobaro kumbe....!
Nilitaka kusahau, wengine wanasuka nywele.
 
Halafu mwanaume akiwa hivyo si anajulikana tu! Hereni, cheni vipodozi (vya kike) nasikia hata wale wanaoshushaga suruali chini ya makalio wengine wana maana hiyo. ......... Eti sharobaro kumbe....!
Ningependa kukwambia wengineHutawatambua no matter what..Ninao marafiki zangu mmoja ni CEO waKampuni moja guy kwa muda wa miaka 15lakini cheki wasichana wanavyo mpapatikia.Ukimwona hata ufanye nini hutaweza tambuatambuaNa akikwambia hutakubali.. kazini kwake kila mtu anadhani ana mke..
 
unaweza kukuta hausi boy anapopoa wote (mwanamke na mwanaume), ngoja awashone, wanampa mshahara kidogo bhana, kwa shughuri hii watamwongeza extra allowances. teh!
 
mi ningekuwa ndio huyo mdada ningemuomba huyo houseboy akimaliza kumshemperea mume wangu, aje na kwangu pia. Halafu namweleza huyo mume wangu kuwa tangu leo mimi na wewe ni wake wa hausiboy, tujipange ipasavyo kumuhudumia mume wetu.
Acha utani mkuu...!

Duh, wanawake mlioolewa mna kazi kweli juu ya nani wa kuajiri kama mfanyakazi wa ndani..
Wa kike baba mwenye nyumba atamla uroda, wa kiume atamla uroda Baba mwenye nyumba..

Salaale........
Hahahahaha.......! Sasa suluhisho ni kufanya kazi za nyumbani mwenyewe...! Lakini si bora house girl kuwa mke mwenzio kuliko mmeo kuwa mke mwenzio?

Ushoga noma.........
Ushoga haukubaliki.......
Tanzania bila ushoga inawezekana.
Bora tubaki na Malaria Sugu pamoja na babu wa Loliondo afe kuliko ushoga uwepo...!
 
bibie kumbe mtata.....safi sana!

Sasa jamani linakwenda kumtia aibu huyu dada kwa kushughulikiwa na house boy si bora nusu aibu ya kumchapa na "D" yaishie humo humo ndani? ukimuona hiyo "D" peke yake haitomshi unamuwachilia mbali.
 
Jamani wapo eeh, kuna kisa nnakijua cha mwanamme mmoja kufumaniwa na mkewe "kainamishwa" na rafiki yake "sitting room" anachapwa, yule mwanamke akasema kama mambo yenyewe ndio haya, basi kwanini usiseme siku zote, sasa huyu rafiki atatula wote na mie ntakuwa nakushughulikia humu humu, kumbe na yule rafiki yake nae alikuwa ndio hivyo hivyo (wakilana kwa zamu) ikaishia yule mwanamke akawa anawashughulikia wote wawili kwa "D". Yule dada nae kuona wanaume wenyewe wote ndio hivyo nayeye akaingia kwenye milling. Wapo mpaka leo nawajua fika.

Duniani kuna mambo. Mungu atunusuru na hii dunia ya kuwa "kijiji". Yote yamo mitandaoni humu, iliyobaki ni sisi wenyewe kuomba na kuitenda stara, vishawishi vinazidi siku hadi siku.
 
Shalom wana jamvi.
Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof.
Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).
Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.
Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?

cpati picha kama na yeye huwa anachapwa ha huyo houseboy! yaani.......cijui wataitwa mitala ya hboy au la!
 
Shalom wana jamvi.
Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof.
Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).
Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.
Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?

Mimi nakulaumu wewe zaidi. Kwa nini hukumwambia shoga yako? You would have saved all these embarrassment they are facing. Imagine, a houseboy, and your wife (like house girl and your husband).,

Jamani, tujifunze, kuna wakati lazime tuwasaidie wapendwa wetu kupunguza matatizo ya baadaye! Angalia sasa!
 
Ningependa kukwambia wengineHutawatambua no matter what..Ninao marafiki zangu mmoja ni CEO waKampuni moja guy kwa muda wa miaka 15lakini cheki wasichana wanavyo mpapatikia.Ukimwona hata ufanye nini hutaweza tambuatambuaNa akikwambia hutakubali.. kazini kwake kila mtu anadhani ana mke..

wadada lazima wampapatikie huyo CEO,
kwasababu lazima atumie nguvu kubwa ya pesa kuidanganya jamii,
kuwa hata yeye ni kidume cha mbegu,
sasa akina dada lazima wampapatikie sana, si unajua mkwanja tena,
isitoshe ni joka lisilo na sumu, kwahiyo wanakula kiulaini tu...............................
 
Back
Top Bottom