Amezaa na mke wa mtu watoto watatu!

tena mpumbavu sana,
unaweza zaa mtoto mmoja na mwanamke wa mtu..
But sio watatu.....
Halafu wewe huoi na kuzaa wa kwako,
eti udai wa watu.very stupid.

Mkuu ni kweli kabisa, nimetafakari saaana nadhani huyo kijana ana matatizo ya akili, kichaa si lazima aokote makopo!!!
 
afadhali kidogo umeonyesha mawazo pevu, si hao wasemao "stupid" hakuna kitu kinachoutwa "stupidy" kwa watu wazima wenye akili zao!

you are entitled to your own opinion lakini kamwe mtu huwezi kukubali kutumika kwa manufaa ya watu wengine bila morals and proper reasoning; kijana ni mpumbavu (stupid!) kwa sababu;

  • Anatembea na mke wa mtu baada ya kushawishiwa na huyo mama, meaning yeye ni bendera fuata upepo
  • anazaa na mke wa mtu, maana yake hatumii kinga hasa wakati huu wa ukimwi
  • Amerudia kuzaa mara tatu ndio anafanya uchunguzi kwanini mwanamke amekubali hayo yatokee
  • Anataka kufanya kosa jingine la kujitangaza kwamba ametembea na mke wa mtu na kuzaa mara tatu
  • He is just being used and he knows, na ndio maana hata kuoa ameshindwa
Hiyo azoospermic situation ya mwenye mke au oligospermia au hata impotence ya mme wa huyo mama haimpi kijana haki au excuse ya kutia mke wa mtu repeatedly hadi kuzaa watoto watatu, tusichanganye upuzi wa huyo kijana na matatizo ya mwenye mke
 
hana chake hapo yeye alikuwa anapanda DECI
hee na kina mama mbona tuna hatari sana jamani ?

kama wewe FL1 ndio umeolewa hapo na mumeo jogoo halizalishi ungefanyaje? sio unasema tu mbona huyu mwanamke ana balaa
 
kama wewe FL1 ndio umeolewa hapo na mumeo jogoo halizalishi ungefanyaje? sio unasema tu mbona huyu mwanamke ana balaa

hivi hakuna sababu nyingine ya kuoana zaidi ya kuzaa?
kama hakuna uwezekano wa kuzaaa kwanini msifurahie matunda mengine ya ndoa,ambapo watoto ni moja wapo tu?
 
hivi hakuna sababu nyingine ya kuoana zaidi ya kuzaa?
kama hakuna uwezekano wa kuzaaa kwanini msifurahie matunda mengine ya ndoa,ambapo watoto ni moja wapo tu?
kufa kwa kiu baharini ni ujinga
 
you are entitled to your own opinion lakini kamwe mtu huwezi kukubali kutumika kwa manufaa ya watu wengine bila morals and proper reasoning; kijana ni mpumbavu (stupid!) kwa sababu;

  • Anatembea na mke wa mtu baada ya kushawishiwa na huyo mama, meaning yeye ni bendera fuata upepo
  • anazaa na mke wa mtu, maana yake hatumii kinga hasa wakati huu wa ukimwi
  • Amerudia kuzaa mara tatu ndio anafanya uchunguzi kwanini mwanamke amekubali hayo yatokee
  • Anataka kufanya kosa jingine la kujitangaza kwamba ametembea na mke wa mtu na kuzaa mara tatu
  • He is just being used and he knows, na ndio maana hata kuoa ameshindwa
Hiyo azoospermic situation ya mwenye mke au oligospermia au hata impotence ya mme wa huyo mama haimpi kijana haki au excuse ya kutia mke wa mtu repeatedly hadi kuzaa watoto watatu, tusichanganye upuzi wa huyo kijana na matatizo ya mwenye mke

umeainisha vizuri mkuu, hebu soma mchango wangu uliotangulia (page 2) nilikuwa namjibu kigogo baadhi ya mawazo yako yamejibiwa.

naomba nikupe maangalizo mawili:
1. mtu akishawishiwa haina maana kawa mjinga. rejea ukweli kuwa hata unapotongoza, kuchumbia au unauza bidhaa fulani, ni kawaida kunatumia ushawishi na aliyeshawishiwa hawezi kuitwa mjinga kwa hilo pekee.

2. kabla hujamhukumu yoyote kuwa stupid au vinginevyo. jiuliza kwanza uko kwnye mtazamo(perspective) upi au unatazama toka upande gani!

ukifikiria kidogo utaona kuna mchanganyiko wa mitazamo (mixed perspectives) kwa pande zote tatu. kijana aweza kuwa mjinga kwa mtazamo wetu wachangiaji, lakini akawa mwema sana kwa ndoa ile kwa mtazamo wa wanandoa hasa kama wasiwasi wangu kwenye mchango niliomjibu kigogo utakuwa kweli
 
umeainisha vizuri mkuu, hebu soma mchango wangu uliotangulia (page 2) nilikuwa namjibu kigogo baadhi ya mawazo yako yamejibiwa.

Nimekupata mkuu na nimeelimika

1. mtu akishawishiwa haina maana kawa mjinga. rejea ukweli kuwa hata unapotongoza, kuchumbia au unauza bidhaa fulani, ni kawaida kunatumia ushawishi na aliyeshawishiwa hawezi kuitwa mjinga kwa hilo pekee.

Umeiweka vizuri, lakini kumbuka huyu anayeshawishiwa anajua kabisa kwamba anayemshawishi mke wa mtu, yaani hapo ndio ujinga unapokuja (kwa mtazamo wangu); fikiria wewe kama umeoa halafu mke wa mtu anakutongoza ukanubali, ukae ukijua kuna baadhi ya watu watakuona mjinga, kwani ni kujiingiza kwenye matatizo, let alone kupiga peku, kuzaa na kutaka kudai DECI zako

2. kabla hujamhukumu yoyote kuwa stupid au vinginevyo. jiuliza kwanza uko kwnye mtazamo(perspective) upi au unatazama toka upande gani!

ukifikiria kidogo utaona kuna mchanganyiko wa mitazamo (mixed perspectives) kwa pande zote tatu. kijana aweza kuwa mjinga kwa mtazamo wetu wachangiaji, lakini akawa mwema sana kwa ndoa ile kwa mtazamo wa wanandoa hasa kama wasiwasi wangu kwenye mchango niliomjibu kigogo utakuwa kweli
Hapo ndipo tunapotofautiana, ndoa si watoto, ndoa ni muunganiko wa watu wawili na si vinginevyo, wanasema huwezi kuboresha ndoa kwa external factors, cha maana wanandoa wapime, wakubali hali yao na waishi kwa maisha tuliyoelekezwa, sidhani kwamba kuna dini inayosema ukiwa huzai basi muache mkeo akachapwe huko nje alete watoto

All in all Mgombea nimeheshimu sana tulivyojadili hoja bila matusi wa mvurugano, nakupa tano!!
 
All in all Mgombea nimeheshimu sana tulivyojadili hoja bila matusi wa mvurugano, nakupa tano!!

nimepokea tano zako mkuu, asante sana

mimi nakichukulia kisa hiki kwa tahadhari kubwa sana. nina uzoefu wa kutosha kwa mambo ya ndoa kama mwanndoa na pia kama msahauri tu kwa ndugu, jirani na marafiki zangu juu ya matatizo ya ndoa (rejea kisa nilicholeta hapa juma lililopita cha mama kumuanza baba kuomba tendo la ndoa).

kwa uzoefu wangu, ndoa huchukuliwa kinadharia zaidi nje yake na kivitendo zaidi ndani yake! yaani kijana kinadharia anaonekana mpubavu, lakini kivitendo mchakato ulianza na makubaliano ya wanadoa, na ni wazi habari ilipomfika baba kuwa kijana kakubali "aliposhawishiwa" alifurahi na kumshkuru Mungu!

tatizo la kijana tunaliona kutokana na maelezo yalivyokuja na aliyeleta thread hii. anguzungumza mwenyewe peraonally inaonekana aliondolewa wasiwasi mapema ssa na mama.

jamani, ndoa ni maisha halisi na si tamthiliya. tujifunze na kuishi yema
 
jamani wat goes round comes round kuna jamaa yangu alizaa na mke a mtu tukiwa secondary watoto wawili mapacha copyright na babake na jamaa yangu yani wamefanana na babu yao mzaa jamaa yangu.
Now jamaa ameoa ila mimba kwa mkewe hazikai zikikaa mtoto bahati mbaya.

Huyo jamaa yatakayomkuta me sijui ila naamini lazima cha mtema kuni atakiona.
Malipo hapahapa duniani.
 
[COLOR=darkgreen said:
Huyo jamaa yatakayomkuta me sijui ila naamini lazima cha mtema kuni atakiona.
Malipo hapahapa duniani.
[/COLOR]

hakuna kitu kama hicho.

ni imani potofu kuamini malipo duniani. jadili hoja usidandie mamo ya kufikirika amayo maisha yameishaonyesha kuwa hayana ukweli hayo yanayompata jamaa yako yana sababu yake na watu kama nyie mliokaribu yake ndio wenye jukumu la kumpa ushauri sahihi na sio kumtazama tu mkiamini eti kwa kuwa alizaa na mke wa mtu.

msaidieni jamaa yenu, aanzie hospitali afanyiwe uchunguzi pamoja na mkewe, inaweza kuwa ni kwa sababu ya maradhi au vizalia (genetics) vya wazazi. acheni imani potofu
 
you are entitled to your own opinion lakini kamwe mtu huwezi kukubali kutumika kwa manufaa ya watu wengine bila morals and proper reasoning; kijana ni mpumbavu (stupid!) kwa sababu;

  • anatembea na mke wa mtu baada ya kushawishiwa na huyo mama, meaning yeye ni bendera fuata upepo
  • anazaa na mke wa mtu, maana yake hatumii kinga hasa wakati huu wa ukimwi
  • amerudia kuzaa mara tatu ndio anafanya uchunguzi kwanini mwanamke amekubali hayo yatokee
  • anataka kufanya kosa jingine la kujitangaza kwamba ametembea na mke wa mtu na kuzaa mara tatu
  • he is just being used and he knows, na ndio maana hata kuoa ameshindwa
hiyo azoospermic situation ya mwenye mke au oligospermia au hata impotence ya mme wa huyo mama haimpi kijana haki au excuse ya kutia mke wa mtu repeatedly hadi kuzaa watoto watatu, tusichanganye upuzi wa huyo kijana na matatizo ya mwenye mke

halafu kuna la kuwaathiri watoto kisaikolojia
hilo hajafikiria..
Huwezi waambia watoto baba yao waliomzoea
sio baba yao,eti hapandi mtungi...

Ni mpumbavu sana huyo.
 
Tumewaelewa ebu mtu aje basi na ushauri wa kisheria inasemaje.wakiwepo wawili wote; Biological father na guardian. wote wanamuhitaji mtoto Sheria yetu inasemaje?nani mwenye haki.kama ni ugoni jamaa yuko tayari kulipia je watoto atapewa?
 
halafu kuna la kuwaathiri watoto kisaikolojia
hilo hajafikiria..
Huwezi waambia watoto baba yao waliomzoea
sio baba yao,eti hapandi mtungi...

Ni mpumbavu sana huyo.

Yes, Mpumbavu sana huyo!!!!

Tuko pamoja kama mbunge na rushwa!!!
 
wana JF,
Ndipo huyu rafiki yangu aliamua kufuatilia kwakaribu ili ajue undani zaidi na ndipo alipogungua kwamba mwanamama huyo na mumewe walikuwa wamepanga mchezo wote kwani jogoo la mumewe 'haliwiki'

Sasa wana JF, huyu kijana hajaoa lakini anauhakika wa 100% kwamba watoto wale watatu ni wake...

Je, anayohaki ya kuwadai watoto hao kuwa ni wa kwake?

Je, afanyeje ili aweze kutendewa haki?

Sipendi sana kuamini unachokisema lakini inawezekena
ila huyo kijana ana roho ngumu kuliko muuza sumu hata huko kuhama ni uongo mtupu sijui hii inaonyesha jinsi alivyojua kosa lake? cha kushangaza amerudia mara nyingi! Nashindwa kuutambua uelewa wa mama huyu kama kweli tatizo ni hilo....! maana sidhan yapo atakayemtuma mkewe akamegwe hadi mimba wakati zipo njia nyingine za upandikizaji?? Najiuliza kijana huyu akimegewa mkewe sijui itakuwaje mhhhh atakua mkali huyoooooo! mwambie wale si watoto wake kwa sasa!
tena asiende kuthubutu kudai ye si kidume apandikize kwa mkewe!
 
Sema wewe kiazi, tukisema sie mihogo tuna mizizi

Umeipiga sawasawa!!!
 
Nimeona mitazamo tofauti mingine mizuri, mingine 50/50 na mingine inasikitisha. Kuna ambao wamekasirishwa sana na kitendo cha huyu kijana kiasi cha kushindwa kufikiri logically! Kabla ya kumshushia kila aina ya maneno kijana huyu, je ni kweli nyie sio wazinzi? Je ni kweli kati yenu mliomporomeshea maneno makali hamjawahi kuwa na mahusiano na walio katika ndo? Labda sababu kuu ya wengi wenu kuandika mliyoandika ni kutokana na nyinyi wenyewe kuwa katika ndoa na mmejiweka katika nafasi ya nyinyi kuibiwa, sasa kutokana na kutawaliwa na wivu mmehisi kuguswa na kuumizwa! Ningependa kushauri, safari nyingine msichague upande na mjaribu kufikiri logically by looking at the sitution in 3D. Shukrani kwa wale ambao wamejaribu kuangalia pande zote.
 
nimeona mitazamo tofauti mingine mizuri, mingine 50/50 na mingine inasikitisha. Kuna ambao wamekasirishwa sana na kitendo cha huyu kijana kiasi cha kushindwa kufikiri logically! Kabla ya kumshushia kila aina ya maneno kijana huyu, je ni kweli nyie sio wazinzi? Je ni kweli kati yenu mliomporomeshea maneno makali hamjawahi kuwa na mahusiano na walio katika ndo? Labda sababu kuu ya wengi wenu kuandika mliyoandika ni kutokana na nyinyi wenyewe kuwa katika ndoa na mmejiweka katika nafasi ya nyinyi kuibiwa, sasa kutokana na kutawaliwa na wivu mmehisi kuguswa na kuumizwa! Ningependa kushauri, safari nyingine msichague upande na mjaribu kufikiri logically by looking at the sitution in 3d. Shukrani kwa wale ambao wamejaribu kuangalia pande zote.

wewe usiongee pumba humu.
Mimi ni mzinzi lakini kumzalisha watoto watatu mke
wa mtu halafu uanze kuwadai ni upumbavu,period,
yaani mtoto wa kwanza hukushtuka,
wapili je?
Mpaka wa tatu??????
Halafu watoto utawaambia nini??????
Kwamba nilikuwa nazini na mama yenu bila baba yenu kujua
ndo mkazaliwa???????

We huoni huu ni upumbavu mtupu.????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom