Ameuteka Moyo Wangu!!!!

Leo darasa kali sana, nimefarijika kweli kweli..Asante kwa hizo alama nitajifunza na kuapply kwenye mipango yangu ya kumteka huyo kaka..

Nikuulize kitu? wewe binti akiwambia anakupenda live unachukuliaje? kuwa muwazi usijali hutanikwaza..nataka mtazamo tu kama Fidel na St. RR..ha ha

Very humbling experience ukizingatia jinsi nitavyotamkiwa.
Kutamkiwa 'Mbu nakupenda!' na kutamkiwa '' ♪ mbu, ...nakupenda!... ♪' ni vitu viwili tofauti.
Kawaida yangu (jinsi nilivyo,) it takes time to sink in...
Na kawaida ya ku digest haya mambo kidogo kidogo ('hoping!' not to be misintepreted labda sijali hisia 'zako')

Nisipofanikiwa nitaficha wapi sura yangu?

...Never ever take it personally, ni bora akwambiaye ukweli ukajua it's a rejection kuliko yule atayekukubalia kwa uwongo na akupe ridhisho la muda. Hapa inabidi uwe spiritual stable,
talking about---Your Destiny---!
 
MMH! am impressed, kumbe inategemeana na flow ya body language pia kutamkiwa eeh..
kwanini inatake time ku-sink in??? inakuwa hujamfeel binti au uko na wako mwingine?
Ndiyo mana kuna mdau alimention wanaume mna slow response hivyo nimekusoma unavyopenda mambo pole pole..not misinterpreted at all usijali..

hiyo ya pili hapo, kwavile ni issue ambayo ni unpredictable inabidi nijiandae kwa lolote lile either kuvunjika moyo au kufurahia kuwa nae kama atafeel the same..natamani tu anianze, ila hii si itanifanya niwehuke!!!..
Sincerely, I'm so confused..
 
Leo darasa kali sana, nimefarijika kweli kweli..Asante kwa hizo alama nitajifunza na kuapply kwenye mipango yangu ya kumteka huyo kaka..

Nisipofanikiwa nitaficha wapi sura yangu?

Nikuulize kitu? wewe binti akiwambia anakupenda live unachukuliaje? kuwa muwazi usijali hutanikwaza..nataka mtazamo tu kama Fidel na St. RR..ha ha
Kama mimi, inategemea ni yule ninayemfikiria au la. Maana mtu hula chakula inayofurahisha moyo wake ati. Mara nyingi huwa inakuwa yule unayempenda sana hakuoni au yuko busy sehemu ambayo wala hapendwi hata kidogo.
 
MMH! am impressed, kumbe inategemeana na flow ya body language pia kutamkiwa eeh..
kwanini inatake time ku-sink in??? inakuwa hujamfeel binti au uko na wako mwingine?
Ndiyo mana kuna mdau alimention wanaume mna slow response hivyo nimekusoma unavyopenda mambo pole pole..not misinterpreted at all usijali..

hiyo ya pili hapo, kwavile ni issue ambayo ni unpredictable inabidi nijiandae kwa lolote lile either kuvunjika moyo au kufurahia kuwa nae kama atafeel the same..natamani tu anianze, ila hii si itanifanya niwehuke!!!..
Sincerely, I'm so confused..

...Kwa mtazamo wangu kwanini ina take time to sink in;

Naamini, Mapenzi ya kweli 'ni safari ndefu' yenye kupitia kwenye vilima mabonde, maziwa na mito,
bara mpaka pwani. Kuna kupitia kwenye mawimbi na shwari, kwa atayejitosa baharini, kuna papa na nyangumi wanasubiria...

...ni safari inayohitaji uvumilivu, urafiki, upendo, na huruma...
Ni ukurasa mpya wa maisha. Ni maisha ya " 'wewe na mimi!' "
Kukurupuka kwenye safari hii utajikuta umeacha 'malapa, taulo ama mswaki...!'

Mapenzi yana muanzilishi, kisha mnapendana.
Panda mbegu ya upendo uchume na kula mavuno yake milele na milele.
:pray2: ---Amen!
 
Hey Belinda umeanza lini haya ya kusongwa na mawazo namna hiyo? Kwanza, huyu jamaa kama hadi hivi sasa hajakusoma hadi mdogo wangu unatatizika itabidi tumnyang'anye kadi yake ya uanaume, tumpige marufuku kukaa karibu na kina dada, na kumfunglia mashtaka ya "crimes against love" kwa kukutesa hadi unataka kufanya mambo ambayo yanaweza kukuweka katika mazingira ya kunyanyasika. Usimuwaze hadi ukajikuta unajipeleka bure; una thamani na mwache yeye mwenyewe atambue. Lakini jilengeshe kiaina tu usijiachilie you know the nataka-sitaki style... goma huku unaenda!
 
nakushauri usimwambie!
kama anakuhitaji atakwambia sbb lazima tu kuna vidalili umemuonesha!
kumuanza mwanaume ni big no nooo hamna cha zama za uwazi wala cha nini nioneni mshamba tu lkn huo ni mtazamo wangu!
wengine hata kama alikua anapanga jinsi ya kukuanza ukimtongoza tu unamkata stimu zote.
anyway Belinda huu ni ushauri tu wewe ndio utakayeamua upi wa kufuata na upi wa kupotezea ila nakutakia kila la kheri!
manenio ya adhahabu haya
nidai peremende!!
utamwanzaje bwana?we ongea kwa lugha za malaika tu ishara nying sanaaaaaaa yeye atajua tu apa kunamvua....
LUGHA YA KIKE NI MATENDO....mpe action aisome movie..
pole ...mweeeee ivi inakuwaje mpk inakutokea hali i?
dah kaz bt pole mwaya....dna dna,lunch ivi,zawad za apa na pale+ CARING ZA APA NA pale mwenyewe ataisoma plate no..na KM hajavutiwa nae kimahaba atakwambia tu au utasoma reply zake bt USISEME KWA MDOMO.
 
nimekumbuka kitabu cjui cha willy gamba 'naapa sitarudia kupenda' good luck sweetheart kama si yeye basi yupo aliyeandaliwa na anayeutambua umuhimu wako
 
manenio ya adhahabu haya
nidai peremende!!
utamwanzaje bwana?we ongea kwa lugha za malaika tu ishara nying sanaaaaaaa yeye atajua tu apa kunamvua....
LUGHA YA KIKE NI MATENDO....mpe action aisome movie..
pole ...mweeeee ivi inakuwaje mpk inakutokea hali i?
dah kaz bt pole mwaya....dna dna,lunch ivi,zawad za apa na pale+ CARING ZA APA NA pale mwenyewe ataisoma plate no..na KM hajavutiwa nae kimahaba atakwambia tu au utasoma reply zake bt USISEME KWA MDOMO.

Upo shostito lol!!!!!!!!
 
...kwavile ni issue ambayo ni unpredictable inabidi nijiandae kwa lolote lile either kuvunjika moyo au kufurahia kuwa nae kama atafeel the same..natamani tu anianze, ila hii si itanifanya niwehuke!!!..
Sincerely, I'm so confused
..
....Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.

...tormented with a secret crush! ...basi BJ, 'mfungulie' tu yaliyo moyoni mwako.
Vunja mwiko, ...take it to another level, ---sogeza urafiki karibu---, kisha sema nae.
 
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?

NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote:)))

hongera kwa kuvunja ukimya!ni pm nikufundishe,mimi wanaume wote niliowahi kuwapenda nilijua jinsi ya kuwaingiza line na hakuna aliyepindua waliingia kichwa kichwa!
 
haaaaaah mapenzi mpira wa kona, jitose mzima mzima, utarudi hapa kuutumbia tu
 
hongera kwa kuvunja ukimya!ni pm nikufundishe,mimi wanaume wote niliowahi kuwapenda nilijua jinsi ya kuwaingiza line na hakuna aliyepindua waliingia kichwa kichwa!
halafu unajiita FAITHFUL, kalaghabao
 
manenio ya adhahabu haya
nidai peremende!!
utamwanzaje bwana?we ongea kwa lugha za malaika tu ishara nying sanaaaaaaa yeye atajua tu apa kunamvua....
LUGHA YA KIKE NI MATENDO....mpe action aisome movie..
pole ...mweeeee ivi inakuwaje mpk inakutokea hali i?
dah kaz bt pole mwaya....dna dna,lunch ivi,zawad za apa na pale+ CARING ZA APA NA pale mwenyewe ataisoma plate no..na KM hajavutiwa nae kimahaba atakwambia tu au utasoma reply zake bt USISEME KWA MDOMO.
another phobia
 
hongera kwa kuvunja ukimya!ni pm nikufundishe,mimi wanaume wote niliowahi kuwapenda nilijua jinsi ya kuwaingiza line na hakuna aliyepindua waliingia kichwa kichwa!

unaogopa vivuli??..weka hapa bana...na sie tukawaingize line..
 
hongera kwa kuvunja ukimya!ni pm nikufundishe,mimi wanaume wote niliowahi kuwapenda nilijua jinsi ya kuwaingiza line na hakuna aliyepindua waliingia kichwa kichwa!

wangapi? vipi bado unaendelea kuwapenda wengine au umeshaacha?
 
Niliwahi kuuliza humu ndani kama kutongoza ni kosa na wengi walinijibu kuwa sio kosa ila kosa ni ile process yenyewe,tatizo ni kwa wanamama ndio ambao wamejiwekea mazingira ya kuonekana very very expensive kiasi mtu anaweza kukufuata akapata majibu yatakayomfanya ajute kukufahamu.Inawezekana kabisa kuwa kijana naye amekupenda ila anaogopa kujivunjia heshima yake kutokana na jinsi wewe ulivyo decent,maana baadhi yenu mkifuatwa na watu walio karibu yenu huwa mnawaambia yaani hata wewe,na nilivyokuwa ninakuheshimu?Sasa kijana anakuwa mzito kukuanza ila ushauri mzuri ni kuvunja ukimya na mtafutie sehemu nzuri ambayo anaipenda umpeleke na uongee naye taratibu nadhani atakuelewa.I wish you all the best in getting the father of the nation.
:peace::A S thumbs_up:
 
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?

NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote:)))

BJ tatizo naamini lipo hapo kwenye nilipoweka msisitizo kwa rangi rouge.
unamaana gani "rafiki wa kawaida"? ushauri wangu ni kwanza anza kuvunja hilo
la kukuona wewe ni rafiki wa kawaida bali urafiki wako na yeye upo level nyingine
yaani "special" si lazima uwe wa mapenzi bali huyo jamaa akiwa na wewe ajisikie
tofauti na anapokuwa na wadada wengine hapo kwa ofisi (inawezekana na wao
wanamlia-timing).

hizo luga za mwili hata wengine wanazijua tena wale mapepe ndo mafundi wa kujilengesha
kwa lugha za mwili. unatakiwa nawe uwe adimu ila unapatikana. kama unataka ndoa inabidi
umuonyeshe kwamba wewe ni material ya kuwa mke, usitumie muda unaokuwa nae kulalamika
shida za maisha bali mazungumzo ya matumaini ya future njema nk.
kwa sas ni hayo tuu.
nakutakia mafanikio
 
MMH! am impressed, kumbe inategemeana na flow ya body language pia kutamkiwa eeh..
kwanini inatake time ku-sink in??? inakuwa hujamfeel binti au uko na wako mwingine?
Ndiyo mana kuna mdau alimention wanaume mna slow response hivyo nimekusoma unavyopenda mambo pole pole..not misinterpreted at all usijali..

hiyo ya pili hapo, kwavile ni issue ambayo ni unpredictable inabidi nijiandae kwa lolote lile either kuvunjika moyo au kufurahia kuwa nae kama atafeel the same..natamani tu anianze, ila hii si itanifanya niwehuke!!!..
Sincerely, I'm so confused..

Mwanamke anatafutwa, hatafuti. Itakucost baada ya muda au maishani kwani kuna siku itambidi atumie uanaume wake kupropose, be sure atapropose kwa mwingine kukamilisha uanaume wake. Hata hivyo wanaume woe hawafanani, waweza jaribu bahati yako. Kumbuka you live only once, so make it right. Don't experiment put your love life.

Let nature take its course, kama ni wako atakutokea, pengine naye anakutamani anakuvutia kasi. Kama si wako, si wako tu hata ukamuanza na akakukubali, iko siku ataenda anapostahili.
 
Back
Top Bottom