Ameuteka Moyo Wangu!!!!

Ni kweli wangu inahitaji umakini mana nilivyo serious usikute huyo kaka hana habari nami nikatendwa na kuumizwa..shukrani nitazingatia huo ushauri,blessed!!

Ndo maanake na waswahili wanasema unaweza penda usipo pendeka hilo nalo liangalie kwa makini na kwa mapana sana
 
haaaa we binti, unahitaji Mwongozo!!

Seniorita amesema vyema, inawezekana kabisa kuwa ni mpango mzuri baadaye! lakini kwa angalizo kubwa, Maisha si kupenda tu kwa kumfeell mtu! yanenda na busara ya upendo na umakini mkubwa!
unajua kama wewe ni Mkristo utakumbuka Gamalieli alivyo waambia mafarisayo kuwa wamsimtese sana Paulo wasije wakawa wanshindana na Mungu, kwani walitokea wengi wenye nguvu sana na wakavuma sana lakini walipita, LAKINI Mzee Gamalieli alisema kama jambo hili ni la Mungu LITADUMU!!!! na hapa uwe makini kama ni upendo yaani Shalom! sio tamaa tu za ujana zimewaka litadumu.... no matter how long it takes!!! be patient Girl, be prayerful and keep him in ur contacts, stay close acha visa vya ushawishi!! usimtegee kwani akinasa unweza kuja hapa baadae ukilia ndoa imekushinda
mama Ndoa ni Mkataba, unaonzia kwenye urafiki wa muda!! things advance slowly.
sasa Umuambie mwanaume unampenda uuuuuu!!!!! I would think twice for me any way sijui kwa wengine!!! LA MSINGI SALI SALI SALA NI MUHIMU SANA HASWA WAKATI HUU WA TEENAGE! na kwako ni muhimu zaidi unapoingia kwenye mahusiano!! he is hand some fine, chaming fine, dont go that far of thinking of watoto nk. nadhani ummenda mbali kwa wakati huuuu!!!

be patient! halafuuu hii picha yako sijui ndo tuanaitta avaat? it can define who u ar so be careful!! AWAZAVYO MTU NDIVYO ALIVYO!!
 
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?

NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote:)))
sWEET LIPS...

TAKE A CHANCE, MAKE SURE NA WEWE UNAUTEKA MOYO WAKE KAMA ALIVYOKUFANYIA WEWE... UTAMU WA VITA VYOVYOTE DUNIANI NA HASA VYA MAHABA NI WHEN YOU BECOME A GREAT CONQUEROR... AND NOT THE CONQUERED

GO GIRL, RAISE YOUR BAR, ATTACK LIKE A WOLF, STING HIM LIKE BEE AND PUT HIM IN YOUR ARMS

BEST OF LUCK
 
BJ.........mtoto wa kike weye bana usintie aibu mwali wangu eh......body language, body language and more body language
Ongea kwa macho bi dada, ongea kwa lips, mikono (viganja), ulimi na hata kidole cha shahada. All the best

Asipokuwa mwelewa tumia lugha ya ukarimu na kujali
 
Nakushauri anza kumwambia,nazani atakuelewa.Usiogope haya mambo ni ya kawaida katika maisha!!!
 
Usiogope kumwambia kwani ninavyoamini ni kwamba mvulana akitongozwa na mwanamke/msichana ni nadra sana kukataa labda huyo mwanamke awe hajieshimu au ni kicheche lakini kama ni mstaharabu mwanamme hawezi kukataa hata chembe.....ila onyo lazima ujiulize kama atakupenda kweli na kutimiza malengo yako....
 
Loh!

Kwanza BJ pole kwa 'maradhi' yaliyokukumba.
Si mchezo, mapenzi ni ugonjwa nyie...yakikupata huamini dawa mpaka umpate umtakaye.

Nimekusoma hapa;...

Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart

...huo ni mwonekano wa nje.

Hutaweza kuujua kilicho moyoni mwake bila kuongea nae.
Huna haja ya kuwa na papara, nawe usikurupuke kumkubalia akikushtukiza na proposal yake!

Kuwa mdadisi, ongea mawili matatu kuhusu maisha halafu mwachie yeye ajaze gunia la maneno upate jua nia na malengo ya maisha yake, kuanzia kikazi, kujiendeleza na mapenzi.

Hakuna njia rahizi ya kusoma roho ya mtu kama akizungumzia jinsi ya ku handle relationship kipindi cha mitikisiko, misukosuko na mpasuko!

Anzia hapo mngali bado marafiki.
Kumbuka kuzingatia alternatives zote kabla ya kuchagua " for better or worse til 'the truth' sets you apart!"
 
i will try ma best.....sasa hebu hapa niambie luv, wewe kama wee mwanamke akikufata na kuku approach utalichukuliaje? sema ukweli umwaibishe shetani!:pray:

Hili swali limekaa kimtego luv....am choosing to reserve my comments, am well aware that whatever i say can be used against me, in your court.
 
BJ.........mtoto wa kike weye bana usintie aibu mwali wangu eh......body language, body language and more body language
Ongea kwa macho bi dada, ongea kwa lips, mikono (viganja), ulimi na hata kidole cha shahada. All the best

Asipokuwa mwelewa tumia lugha ya ukarimu na kujali

...I was wondering umepotelea wapi 'kungwi mkuu,' LOL

BJ anatakiwa awe mwangalifu.
Wanaume wengine wakiambiwa na mwanamke "...nimekupenda, nataka uwe wangu"
message anayopokea ni "...naomba 'ukalale na mimi!'"

Sasa sijui 'huyo mtarajiwa' wa BJ ana uasili wa wapi (i.e mbantu, muajemi, 'mdhungu?') kwenye muangalizo wa tamaduni, mila na desturi (wanavyowa treat wanawake wa kikwao)
 
we ukimwangalia tabia yake towrads you unaonaje? anakuzimia ama?? anaweza kuwa pia in the same boat anashindewa kuvunja ukimya!! it doesnt hurt kuvunja ukimyaaaaaaaaaaaaaaaa!!
 
BJ........onyesha unamjali .......kuwa attentive anapokuwa anaongea nawe, mfariji kimaneno pale unapomwona yuko down.cheka, furahi ukiwa naye usijaribu kuwa mtu mwingine ili umvutie lah............. mtizame kwa macho laini all the times, lips zichanue kwa tabasamu kila mara/umwonapo.....kuwa mtulivu na msmart. Mkiwa karibu mmesimama au kukaa karibu hakikisha unakuwa mtundu kwa kutumia viganja vyako laini....kitu kidogo akisema unacheka na kijikibao laini cha mgongoni mwali.............ukitakauliza kitu kwake tanduliza kiganja weka begani taratibu mtizame usoni na tabasamu pana uliza kwa sauti ya kike na upole. Kumbuka unapomfanyia hayo uwe unamsoma kama naye anapata hisia flani kwa mguso wako.............................ukishauhisi uchemistry..........jipoteze kidoooogo

All tyhe Best
By The Finest......... kwa niaba ya MJ1
 
Duh....hii imekaa ki-air hostess sana MJ1....
All the acts ili kupata mme....I prefer oneself...(kama wewe-self :pray2:)
 
Duh....hii imekaa ki-air hostess sana MJ1....
All the acts ili kupata mme....I prefer oneself...(kama wewe-self :pray2:)
sasa Mtarajiwa.....oneself inaapply pale ambapo nawe unahisi wapendwa na haikusumbui sana kama inavyomsumbua BJ.hapa hisia kwa mtarajiwa lazima zichimbuliwe huko ziliko si kusubiri zijifichuwe zenyewe loh BJ wa watu si atakuwa keshafariki kwa mapenzi??
 
Kwa hiyo aigize kidogo...ila akishapata arudi normal sio?
 
BJ,
I can imagine what you are going through. Lakini mimi sidhani kama inakuwa vema mwanamke kumwambia dume anamtaka. Isipokuwa lazima uwe na strategies za kuhakikisha unakipata kile unachoamini ni cha kwako. Mwanamke anaweza kabisa kumfanya mwanaume ajione yeye ndio king akakubaliana naye bila kuonyesha utovu wa adabu.
Pengine kwa upande wako sasa una kazi ya kujua ni hot buttons gani unatakiwa kuzigusa ili mzigo ukudondokee jumla jumla.Na hilo linataka utulivu na akili. All in all hata kama ukimwambia, hutakuwa umepoteza chochote. Ni mlolongo wa mambo ya kimaisha.
 
Back
Top Bottom