Bahati Risiki
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 530
- 93
Tanzania tutakuwa tu exploited mpaka basi. Ni lini tutapata rais ambaye ni kiongozi wa kweli atakayetumia raslimali zetu kuanzisha airline yetu kama wanavyofanya Kenya, Ethiopea, na kwingineko? Yaani huu ubinafsi wa wachache kunufaika na utajiri wetu unatia hadi aibu. Mungu ibariki Tanzania kwa kuipatia viongozi wenye uchungu kidogo tu na manufaa ya raia wake wote! Mungu tuondolee hawa mafisadi wanaokimbia huku na kule kuombaomba bila aibu huku wakifuja utajiri wa nchi yetu kama vipofu wasio na akili. Baba sikia kilio chetu!