America Plays Big Brother to Kenya.

The Obama administration could have taken this step to Tanzanian officials who are involved in stealing government money. But i hope may be second will be Tanzania.
 
Hiyo barua ya Kibaki wala hajaandika yeye, walioaiandika wanafahamika..si ajabu hajui hata content yake ni nini...
 
Ab-Tichaz,Brutus,ByaseL,Recta,Fidel80,Bluray,Kituko....

..waliohusika na vurugu na mauaji yaliyotokea Kenya wanapaswa kupelekwa kwenye sheria. hilo nakubaliana nalo 100%

..kwa upande mwingine nashangaa sana kwamba liko "donda" kubwa kwa majirani zetu Wacongo na jumuiya ya kimataifa haitaki kulishughulikia.

..mamilioni ya Wacongo wameauawa na wahusika wakuu ni serikali na majeshi ya Rwanda, na vibaraka wao.

..majuzi nimesoma taarifa za Waziri Membe, ati anadai Jenerali Nkunda ameweka masharti kwamba akashtakiwe ktk nchi zisizo na hukumu ya kifo!!

..yaani tumefika mahali viongozi wa Afrika na jumuiya nzima ya kimataifa inawekewa masharti na mhuni na muuaji kama Laurent Nkunda??!!

Kuna mada ililetwa kuisifia Rwanda kwamba inaendelea, nilisema jamani pale Rwanda ni nguvu ya marekani na ni marekani hawa hawa waliisaidia RPF kuchukua nchi na kumuua rais habyarimana lakini leo hii kagame anaonekana eti ni rais bora east and central africa.

Ukweli uko wazi kwamba kagame aliamuru ndege iliyo wabeba marais habyarimana na yule wa burundi itunguliwe na RPF rebels na US walijua hilo. Yote haya ni kuhakikisha wanaondoa koloni za kifaransa na kusimika tawala zinafuata mlengo wa kiingereza (US & UK).

Kwa hiyo nakubaliana na hoja zilizo tolewa kwamba US ndo baba wa dunia na akiamua kitu hakuna wa kupinga. AU wenyewe wanategemea misaada kutoka US, issue ya gen. Nkunda ni ngumu kwa sababu alikuwa analinda uchimbaji wa dhahabu iliyokuwa inasafirishwa kwenda US kwa hiyo huenda hata asifungwe miaka mingi.
 
The Obama administration could have taken this step to Tanzanian officials who are involved in stealing government money. But i hope may be second will be Tanzania.

Akija Tz aanze na Mkuu wa Kaya, wengine wajifunze kuanzia hapo
 
Back
Top Bottom