Amepokea mwanaume mwenzangu

mi hata cjui unataka ushauri wa nn.au unaona raha tu kutuambia utumbo wko?
 
mi hata cjui unataka ushauri wa nn.au unaona raha tu kutuambia utumbo wko?
hey hey mjiheshimu bhasi cyo mnatok shit zenu za kijinga hamjalazimishwa kutoa ushauri so kam unaona hauna kitu cha kushauri acha kama ilivyo cyo unaleta dharau hapa
 
cha muhimu kajipimie zako ukimwi....jitulizie zako,huyo kipeto bado...af pia inawezekana yupo kwako kwajil ya kitu flan tu....au kakuweka wa ziada..kukibuma anakokufikiria wewe uwe kimbilio la mwisho.pole sana
 
kama ni kweli huyo mwanamke hakupendi ww ndiye unayempenda. Ogopa kuishi na mtu asiyekupenda kwani atafanya lolote bila kujali linakuudhi kwa kiasi gani

ushauri

achana naye anza upya tafuta mtu anayekupedna na amua kuanza mchakato wa kuoa

wasichana wengi amabo hawajaolewa hawana msimamo hata kama ukimuahidi namna gani mara nyingi yy huwa tayari kwa yle anayeenda kujitambulisha siyo ahadi hewa . huenda mwenzako amejitambulisha wakti ww ulikuwa unampa ahadi tu

tafuta mwingine mwombe Mungu atakusaidia
 
Unajua katika mapenzi kuna watu ambao hawawezi kuheshimu hisia za wenzao na badala yake wanacheza nazo! kweli mtu anakupenda mapenzi ya kweli lakini wewe unamcheat na kufikia hatua ya kumpa mwanaume mwingine apokee simu??Kaka wala usilipe kisasi, kisasi muachie Mungu kwani yeye anajua ni kwa jinsi gani unampenda lakini ameamua kukutenda na kucheza na ile thamani ya upendo uliompatia.......

Cha kufanya: muache tu endelea na time zako, huyo amekuchoka kwani kama angekupenda wala asingempa mwanaume mwingine apokee simu yako, Mungu atakupatia mwanamke ambaye atakupenda kwa dhati na kuuthamini upendo wako kwake
 
Ndhani jambo la msingi la kufanya ni kuongea naye. Kaa chini uongee naye na umuulize ni kwa nini hali ile ilitokea. Sio kwamba namtetea lakini pengine jambo lile lilifanyika bila ridhaa yake wala bila yeye kujua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom