Ameomba Ubunge wa Temeke kwa Tiketi ya CUF, CCM nachama gani kingine

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
647
350
Toka 2005 bado Holaa! Ubunge kwake mpaka Yesu arudi

4430546.jpg
 
Aaahh kumbe ulikua unamzungumzia Richadi, huyu mbona siku hizi ni MC tu wa Chama.

Tambwe mbona toka asikie 'homeboy' Kikwete waliocheza wote 'Mchanga wa Pwani' kapata zarilamentali na ulaji wa hali ya juu na hapo ndipo naye akajiamulia kimoja kutimkia CCM kwa kukihama kabisa CUF.

Afadhali ya enzi zele Profesa alikuwa akimpiga twisheni taratibu taratibu pale Buguruni kabla ya kujitokeza mbele ya halaiki ya watu kuwahutubia na au kujibu hoja pinzani. Kwa kweli Mhe Lipumba lazima tumpongeze kwa kulea 'Vijana wa Mtaani' kuwa wanasiasa mahiri ka Tambwe Hiza miaka hiyo. Hakika aling'ara si utani ndipo timu ya CCM ikamfanyia usajili na kumsugulisha bench hadi suruali kutoboka na kiwango kushu shwiii!!!

Hakika siku hizi amebaki kipaza sauti tu kule CCM kwa kila jambo lipitalo. Labda afikiriea kwa haraka kufanya usajili upya kwenye timu zenye makocha waliosifika kama Prof Lipumba na Dr Slaa huenda wananchi wakamuelewa.
 
Aaahh kumbe ulikua unamzungumzia Richadi, huyu mbona siku hizi ni MC tu wa Chama. Toka asiki 'homeboy' kapata ulaji naye akaamua kukihama kabisa CUF. Siku hizi amebaki kipaza sauti tu kule CCM kwa kila jambo lipitalo.[/QUOTE]

Msema chochote, Njaa hizi. Kazi kwelikweli
 
Jana nilimuona kwenye Mlimani tv akiwa na Mtatiro ...jamaa amechoka kifikra mapaka unajiuliza hivi sisi tulimkosea nn Mungu hadi tunaongozwa na washenzi kama huyu!Siku moja alieleza kuwa kielelzo cha watanzania kuendelea ni kuona wanailiki Tv na makampuni ya mabasi kama Mombosa Raha!jamani nchi hii ina laana
 
crap...!!

Ndugu Nicksixyo, 'CRAP!' kavu hivyo hivyo kweli bila hata ya ufafanuzi?

Je, hiyo salamu zuri itakua imemlenga Mhe Mbunge Mtarajiwa ambaye kihistoria kura hazijawahi kutosha, au ni salamu za mleta hoja, au tuliochangia au ni kwa jf kwa ujumla wetu.

'CRAP!' ni tungo tata jamani tusaidiane hapa kidogo au sio?
 
Back
Top Bottom