amenisihi nisiseme, lakini roho inaniuma

Watoto wa siku hizi uhuru wa kuongea umewalevya.

Sasa kujua hawara ya baba yako ndio umwambie mama yako??
Baba yako akikukuta unakamua demu mwingine akamwambie huyo 'wifi yetu'?

Fuata uliyoyachosha, mapya huyawezi. Kwanza fanya haraka kuhama kwenu ili usave hela za gesti za kumpeleka wifi yetu huko.

Note, wote mlikuwa kwenye zinaa, sasa sijui inakuwaje ya kwako umeihalalisha. Kama wewe ulivyomchukia baba yako, Muumba wako naye kakuchukia vile vile

Kama dogo hajakuelewa ktk hilo somo ulilompa basi atakuwa hana Kongosho!
 
Hii ngumu kumeza....yeuiii mi ningemwambia mama kua makini sana na mume wako basi inatosha..
 
dah mwana umepata leverage kubwa sana hapo...sasa mdingi atakuwa mtumwa kwako. wewe usimwambie maza. kuna siku utatumia hiyo infomation kupata kitu....ata ikiwezekana unaweza mwambia na mie nataka kuonja K ya yule mwanamke lah sivyo namwambia maza
 
Utu uzima dawa, siyo kila kitu ni cha kutamka, pima kwanza ni nn utakachokipata utakapo mueleza mama yako hili soo baada ya hapo jibu utakuwa nalo mwenyewe
 
nivizuri ukapilia mbali hilo suala maana utakaposema madhara yake ni zaidi unavyofikiri,kumbuka hiyo ni ndoa
 
Like father like daughter sorry son.

Digi anatafuta tgo afu we umzibie, atapewa na nani? Afu unadai unamwonea huruma maza!. pyuu!!
 
Nimekupendaje leo Dr. Riwa.

Sisi baba alikuwa hajatulia na sie ndio tulokuwa wambea nambari one.

Yes my dad and mum divorced...lakini tuliangalia mbali kwa kuwa tulikuwa tunawapenda wote wawili...tuliona kuna possibility ya kuwakosa wote kwa HIV.

Kukaa kimya si ujanja wala nini...mlipue tu huyo...au mpe warningkuwa yuko under observation akirudia utamsemea.

Sasa siku moja mama yenu anawaita wanae wote...kisha anwaambia wanangu nimetoka hospitali leo, nimepima nimekuwa nimeambukiwa VVU (HIV)! If you can live with that, usimwambie...lakini jua kwa kutom'warn mama, unamchimbia kaburi!
 
Inategemea mmelelewaje...sie tulikuwa hatuoni noma wala nini kujulikana kuwa sie ndo tulosema. Na mdingi hatufanyi kitu...kwani tunamsingizia???

natamani ningekuwa na indirect means za kufikisha ujumbe.. lakin akianza kudadisi itakuwa noma.
 
Kwanza aliekwambia mama yako hajui ni nani?

ndoa za mda mrefu watu hujuana tabia zao na siri zao
wewe hayakuhusu kabisa
 
Pole sana maana upo katika mtihani mgumu sana,ukisema kwa mama yako itakuwa taabu na usiposema pia ni taabu,kwa kukushauri ni kumuita baba yako na kumweleza kuwa hupendi alichokifanya kwani kinahatarisha maslahi ya familia nzima mpe mtihani kuwa je kama yeye anafanya vile na mama akiwa anafanya je yeye atafurahi?Natumai mzee wako ni mwelewa na atabadilika.
 
Nimekupendaje leo Dr. Riwa.Sisi baba alikuwa hajatulia na sie ndio tulokuwa wambea nambari one.Yes my dad and mum divorced...lakini tuliangalia mbali kwa kuwa tulikuwa tunawapenda wote wawili...tuliona kuna possibility ya kuwakosa wote kwa HIV.Kukaa kimya si ujanja wala nini...mlipue tu huyo...au mpe warningkuwa yuko under observation akirudia utamsemea.
hii ndio hofu yangu pia. waki-divorce itakuwa fault ya baba since ame-cheat. personally i couldn't forgive myself if something bad happens to mama in a similar situation. kuitwa mmbea ni 'upepo tuu unapita' lakini HIV ni permanent.
 
Ni kweli umesema.Ni bora Divorce kuliko UMWIKI
 
Watoto wa siku hizi uhuru wa kuongea umewalevya.

Sasa kujua hawara ya baba yako ndio umwambie mama yako??
Baba yako akikukuta unakamua demu mwingine akamwambie huyo 'wifi yetu'?

Fuata uliyoyachosha, mapya huyawezi. Kwanza fanya haraka kuhama kwenu ili usave hela za gesti za kumpeleka wifi yetu huko.

Note, wote mlikuwa kwenye zinaa, sasa sijui inakuwaje ya kwako umeihalalisha. Kama wewe ulivyomchukia baba yako, Muumba wako naye kakuchukia vile vile

nilishahama home nimechukua ghetto yangu taraatibu natulia tu hata kama mtoto katia timu anakaa hata week mbili sina gharama nyingine za kulipia lodge... hahaaa umemshauri vizuri mshikaji
 
Mhh familia zingine zina laana.... wewe nawe umeenda guest kufanya nini??ndo maana sisi wageni tukija dar tunakuja vyumba vimejaa. Ushauri wangu mnahitaji maombi familia yote...Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka

Nahangaikaga sana nikija siku za ijumaa na jumamosi jioni...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom