ameniomba nimsamehe

RONALDO

Member
Nov 2, 2011
84
9
jamani mimi nikuwa na girlfriend wangu mm naishi dar na yeye anaishi Arusha.Mimi nimemalza chuo UDOM mwaka huu na yeye yupo mwaka wa pili UDOM.Tumeanza mahusiano yetu na mwaka mmoja sasa hivi,mwezi uliopita aliniambia nimuache anataka kuwa alone na tena akaniambia nisimpigia hata simu kuanzia muda huo.kosa ananishutumu mm kuwa simujali na anasema nina wasichana wengine huku dar eti kisa mimi anasema ni handsome boy hivyo anahic anaibiwa zao lake huku.Kiukweli mm dar cna msichana yoyote zaidi yake yeye.Baada ya chuo kufunguliwa mwez uliopita akiwa chuoni juzi alinitumia sms yakuniomba msamaha anataka kurudiana na mimi.Je nifanyeje kuhusu huyu msichana.naombeni ushauri kwasababu nahofia anaweza akarudia tena tabia yake ya kunishitumu kuwa simjali,cmpend na wasichana wengine huku dar.
 
Kwani wewe unadhani unataka kuchukua hatua gani?
 
hata usipomsamehe jua utakutana na vibweka utamkumbuka sana
hapo dar utaisoma bila hela hamna penzi na uwe tayari kushare pamoja na hela zako in case
 
Mambo madogo hayo dogo!
Jambo la kwanza ni kwamba, ninyi hamuaminiani ( no trust btn you two) hii ni tatizo kubwa na litawafanya mgombane kila mara
2. hata kama una demu hapa dar huwezi kuandika humu kwenye JF, ila kama ameomba msamaha msamehe endapo bado unampenda
3. Kwani humjali? kama ulishazoea kumjali kwa vivocha, vijesenti, vikisi kwenye simu, vi sms vya ulaghai ulipokuwepo UDOM inabidi uviendeleze bana, sio baada ya kumaliza umevikata ghafla bila maelezo. Kama ulikua unaomba vijisent home, unachanganya na kabumu kako unatoa service mwambie ukweli sasa hizo service zitapungua coz huna access na vijisent mpaka utakapobaatisha kajob serikalini
4. Inawezekana baada ya wewe kuondoka alibaatisha kajamaa kengine, sasa hakikumfikisha kama ulivyomfikisha akakipiga chini ( AKASEMA BORA SHETANI UNAYEMJUA KULIKO MALAIKA USIYEMJUA) ndiyo mana amerudisha majembe kwako
 
Hiyo story yako kama ni kweli huyo hajiamini,ila naona kama unatangaza biashara vile!
 
jamani mimi nikuwa na girlfriend wangu mm naishi dar na yeye anaishi Arusha.Mimi nimemalza chuo UDOM mwaka huu na yeye yupo mwaka wa pili UDOM.Tumeanza mahusiano yetu na mwaka mmoja sasa hivi,mwezi uliopita aliniambia nimuache anataka kuwa alone na tena akaniambia nisimpigia hata simu kuanzia muda huo.kosa ananishutumu mm kuwa simujali na anasema nina wasichana wengine huku dar eti kisa mimi anasema ni handsome boy hivyo anahic anaibiwa zao lake huku.Kiukweli mm dar cna msichana yoyote zaidi yake yeye.Baada ya chuo kufunguliwa mwez uliopita akiwa chuoni juzi alinitumia sms yakuniomba msamaha anataka kurudiana na mimi.Je nifanyeje kuhusu huyu msichana.naombeni ushauri kwasababu nahofia anaweza akarudia tena tabia yake ya kunishitumu kuwa simjali,cmpend na wasichana wengine huku dar.
ahahahaaaaaaaaaaaa!...handsome boy unaudhaifu mkubwa(take or leave it)...msichana anakupiga mkwara kwa kisingizio cha kipuuzi kama hicho,..anyway ushauri wangu ni kwamba huyo msichana alikua anatingisha kiberiti na kakuta kinapwaya,..tafakari na uchukue hatua dogo
 
msamehe tu huko alikotegemea keshapigwa kibuti mapema, jamaa hamtaki amekukumbuka wa long.
 
UDOM inaelekea mahandsome boy mko wengi,kila post kutoka huko mm handsome nyamabafu,tafuteni maisha mtaolewa mjini na demu kama kakuzingua fanya maamuzi magumu msamehe ukishindwa changanya mbariga
jamani mimi nikuwa na girlfriend wangu mm naishi dar na yeye anaishi Arusha.Mimi nimemalza chuo UDOM mwaka huu na yeye yupo mwaka wa pili UDOM.Tumeanza mahusiano yetu na mwaka mmoja sasa hivi,mwezi uliopita aliniambia nimuache anataka kuwa alone na tena akaniambia nisimpigia hata simu kuanzia muda huo.kosa ananishutumu mm kuwa simujali na anasema nina wasichana wengine huku dar eti kisa mimi anasema ni handsome boy hivyo anahic anaibiwa zao lake huku.Kiukweli mm dar cna msichana yoyote zaidi yake yeye.Baada ya chuo kufunguliwa mwez uliopita akiwa chuoni juzi alinitumia sms yakuniomba msamaha anataka kurudiana na mimi.Je nifanyeje kuhusu huyu msichana.naombeni ushauri kwasababu nahofia anaweza akarudia tena tabia yake ya kunishitumu kuwa simjali,cmpend na wasichana wengine huku dar.
 
dah alijaribu mahali akaona hapalipi ni usanii tuu bora wewe.. msamehe tuu..endeleeni kula maisha
 
...Grrrrhh hizi issue nyingine kama za siri sirari au nikilala nakuota, nikinywa maji nakuona ktk glass are too outdated n childish........ c'mon !! Labda inabidi kuanzisha threads za U 16, U 18 na U 20 ili wao waende hukoo na wengine sisi shikamoo jazz tubaki huku !!

Anyway, kukusaidia think outside the box.... tunajua tabia za madenti wengi vyuoni..... it is possible alipata kajamaa labda ambako kamepokea mkopo wake so akazuzuka kwa vi ofa vya pale Wimpy na kucharazwa usiku (hivi hiki kiota bado kipo pale mujini dodoma ??) baada ya mkopo kwisha, akaona bora arudi kwako. So, haya mapenzi ya clementina na Okonko ya kupekejeana chips -mayai visiting days ya nini wakati unajua ajali za kila siku za Dar Express ? Achana nae huyo tulia na kama kweli ww ni handsome kama waziri wasira basi lazima utapata totoz hapo mujini kwa Masaburi !!
 
mchunguze kwanza kama uhandsome wako ndiyo sababu yake kwani inawezekana kunajamaa alimdanganya mwishoe akamwaga sasa anataka umsamehe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom