Ameniganda eti lazima nimuoe

Oa huyo huyo, umemchezea miezi 8 kumbe huna mpango naye, unataka kumuoa nani sasa? Kijana bahati inakupita hiyoooo!!!!!

miezi 8!!!!!....watu wanakula utamu miaka 6 aafu wanakula kona,we unalaumu hako kamuda kafupi hivo!..
 
hahahaha, hii kazi kweli. Hata gaddafi alisema hivyohivyo bila kuchukua hatua. Nato wakija watakutafuta hadi sirte. solution Kimbilia niger au kwa chevez.
 
Bora umweleze ukweli pia ulifanya kosa kumpotezea muda wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom