Amekutwa na ky jelly!

[/B]
Badala ya kumtuhumu moja kwa moja ni bora amnuse kwanza kama anatoa harufu ya kinyesi, au akosee kwa makusudi wakati wa mechi aone kama itakwama au itapitiliza.
Sio akosee anatakiwa afanye hivyo kwa uhakika,tena inabdi amuambie kabisa huyo mkewe mtarajia ya kuwa mie nataka kuangalia kama nyuzi bado zipo au KY imeshazifuta
 
matumizi yenu ya internet ni nini?search matumizi ya KY ujue,si kila kitu lazima umwambie swiitii wako,wengine wanajisikia vibaya,ishu hapa ni kutomwambia mpenzi!kama hana jingine nashauri warudiane!
 
WanaJF katika hali ya kustaajabisha kaka yangu anayetegemea kuona mwezi August 2011 ameshindwa kuvumilia na amefikia uamuzi wa kuahirisha harusi kwa kumkuta mtarajiwa wake akiwa na KY JELLY iliyotumika kiasi kidogo iliyokuwa kwenye kipima joto cha shemeji yangu mtarajiwa! Kwa mujibu wa bro wangu anasikia kuwa KY Jelly inatumika kwenye yale mambo yetu ya mtandao wa Robo shilingi aka tIGO na hivyo anaamini shemeji yangu ndo tabia yake! Je ni kweli KY Jelly inatumika kwenye mchezo huo. Lakini hata kama ni hvyo je kuna uhalali wa kumtuhumu moja kwa moja, naomba tumshauri huyu kaka yangu jamani tuinusuru hii ndoa tarajiwa!

Amuulize hiyo KY alikuwa nayo ya nini, ziko KY nyingine zinatumika kwa massage pia. Na kama hakupata maelezo ya kuridhisha basi ni bora avunje harusi.
 
Amuulize hiyo KY alikuwa nayo ya nini, ziko KY nyingine zinatumika kwa massage pia. Na kama hakupata maelezo ya kuridhisha basi ni bora avunje harusi.

Babu nakubaliana na wewe. Waelezane ukweli kwamba kwa nini huyu mchumba alikuwa na hiyo KY kwani hili sio suala la kupuuza. Inawezekana mchumba ni sigara nyota lakini hubby mtarajiwa hajui, na hili linaweza kuleta matatizo baadae katika ndoa yao. Generation ya siku hizi sio mchezo.

 
Ukimchunguza bata humli ng'o!!!

Bata sharti umtie viungo vingi LOL! Ndimu kwa wingi na chumvi kisha umpake kitunguu swaumu na pilipili na kumning'iniza mahali usiku kucha kesho yake ukimpika/kumkaanga/kumchoma atakuwa na ladha kama ya kuku wa kienyeji. Udenda utakuwa unakuchuruzika kwa utamu wake LOL!
 
Hapo shughuli inabidi apate maelezo ya kutosha hiyo KY imetoka wapi na imetumika kwa matumizi gani...hii ni sawa Na kukutwa na condom iliyotumika chumbani kwako ati.
 
no, mm nayafahamu haya mafuta, yametngenezwa special kwa wanawake wacotoa ute wkt wa tendo la ndoa sa wabongo ndo wakachakachua ma2miz yake

sijaelewa?kutotoa ute meeaning K inakuwa kavu vibaya sana??au una maana gani?? binadamu kwa mikogo jamani ,,,sasa kazi ya mate ni nini au wanaona mungu alikosea kuweka mate
 
Hivi wajemeni kumbe nikienda duka la dawa kuiulizia watanitizama kwa jicho la tatu? mbona tumeipa hiyo kitu matumizi meeengi hadi sasa matumizi ya kawaida yanasahaulika

daaaaaaaaaaamn.:A S 13:
 
[/B]
Badala ya kumtuhumu moja kwa moja ni bora amnuse kwanza kama anatoa harufu ya kinyesi, au akosee kwa makusudi wakati wa mechi aone kama itakwama au itapitiliza.

Mkuu kwa jinsi mungu alivyoiuma ile sehemu ya mwisho wa tumbo hata uioshe vipi ukitembea kiasi kidogo tu ukijinusa unakuta pananuka! kwahiyo kumnusa sio solution!
 
Duh! Hivi matumizi yake ni hayo tu?
Kama sio inawezekana amemshutumu tu.
 
Hakuna kujiuliza mara mbili mbili kuhusu kuamua hapo,kama ndio ingekuwa haijatumika tungesema labda ndio ilikuwa anataka kuitumia na mhusika ila kwa kuwa imekutwa imekwishatumika basi hapo hakuna jinsi ni kuelewa tu kuwa inatumika sehemu nyingine tofauti na mhusika
 
huyu ni expert wa robo shilingi ndo maana anatembea na vifaa...
 
poor communication between partners.....hawako wazi....amsikilize tu fiancee wake,wanawake wengi hutumia kuwepa maumivu wakati wa tendo na katika kupunguza michubuko hasa kama ana uke mkavu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom