Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,531
- 12,369
WanaJF katika hali ya kustaajabisha kaka yangu anayetegemea kuona mwezi August 2011 ameshindwa kuvumilia na amefikia uamuzi wa kuahirisha harusi kwa kumkuta mtarajiwa wake akiwa na KY JELLY iliyotumika kiasi kidogo iliyokuwa kwenye kipima joto cha shemeji yangu mtarajiwa! Kwa mujibu wa bro wangu anasikia kuwa KY Jelly inatumika kwenye yale mambo yetu ya mtandao wa Robo shilingi aka tIGO na hivyo anaamini shemeji yangu ndo tabia yake! Je ni kweli KY Jelly inatumika kwenye mchezo huo. Lakini hata kama ni hvyo je kuna uhalali wa kumtuhumu moja kwa moja, naomba tumshauri huyu kaka yangu jamani tuinusuru hii ndoa tarajiwa!