Amejikunyata!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Ni Rafki yangu!!

Ana BBA anafanya kazi kwenye Kampuni mojawapo ya Simu, alipokuwa chuo alifanya engagement na binti wa ukweli, Bright darasani na yuko bomba Physically. Chuo kimeisha demu kaolewa na wenye kuishi kwenye maghorofa ya mikocheni. Huyo jamaa yangu anaishi Kijitonyama Sayansi.

Nimekutana naye msibani kanyongea akaniambia yeye kwenye mambo ya mapenzi ameamua kujikunyata pembeni akiwaangalia wenye Ubavu wakisonga mbele! Siku akipata Vogue ataingia uwanjani kupambana!!
 
Wakikumegea na wewe tafuta mnyonge wako naye mmegee..
Ina maana siku hizi mtu demu wake kumegwa ni kawaida? Halafu inakuwaje demu msomi darasani alikuwa mkali wa kiukweli anashindwa kusimamia alichokubaliana na mwenzie?
 
Ndio maisha yalivyo.
Akipata hela na yeye atamchukua gf wa mtu aliemaliza chuo.
OTIS
 
Walinena wahenga, usishangae ya Mussa, kuna ya Firauni... Wonders will never cease oh!
Ina maana siku hizi mtu demu wake kumegwa ni kawaida? Halafu inakuwaje demu msomi darasani alikuwa mkali wa kiukweli anashindwa kusimamia alichokubaliana na mwenzie?
 
Ina maana siku hizi mtu demu wake kumegwa ni kawaida? Halafu inakuwaje demu msomi darasani alikuwa mkali wa kiukweli anashindwa kusimamia alichokubaliana na mwenzie?
Katika vitu ambavyo huwa sipendi kuumiza kichwa changu ni kitu kinachoitwa MAPENZI i just go with the flow..
 
Kujikunya hakusaidii, mwambie atafute mmoja ambaye hatoishi naye kama demu bali mpenzi wake
 
Dah!mpe pole zake ila ackate tamaa coz kila mtu kaumbiwa wake!amwombe mungu na kuwa na subira atampata alie mkweli!na nyie wenye mihela kuwen wastarabu bwana c mtafute wenu co vizuri kutumia pesa zenu kuumiza wengine bwana!kwan co mabint wote wanajitambua kiac cha kucmamia maamuzi yao mbele ya mihela!
 
mpe pole mwambie asikate tamaa kuna mrembo somewhere who was meant for him atakayempenda for who he is.
 
kabla ya kuwa "wapenzi" si kuna mahali lazima muanzie?

Hakyanani, mkianzia kwenye huu u demu ndo maana matokeo yanakuja sio kama ulivyotarajia, mahali pa kuanzia ni pale mnapokubaliana kuwa wapenzi/ au kama vipi marafiki na kama wote mnategeana basi muelewane kuchapana tu na kutooneana wivu
 
Ni Rafki yangu!!

Ana BBA anafanya kazi kwenye Kampuni mojawapo ya Simu, alipokuwa chuo alifanya engagement na binti wa ukweli, Bright darasani na yuko bomba Physically. Chuo kimeisha demu kaolewa na wenye kuishi kwenye maghorofa ya mikocheni. Huyo jamaa yangu anaishi Kijitonyama Sayansi.

Nimekutana naye msibani kanyongea akaniambia yeye kwenye mambo ya mapenzi ameamua kujikunyata pembeni akiwaangalia wenye Ubavu wakisonga mbele! Siku akipata Vogue ataingia uwanjani kupambana!!

mwambie a fight sana mambo mazuri yanajipa yenyewe atapata SPORT yake na atawapanga kama magari kwenye foleni hahahaaaa.. mjini sio kuzuri,....!
 
mwambie a fight sana mambo mazuri yanajipa yenyewe atapata SPORT yake na atawapanga kama magari kwenye foleni hahahaaaa.. mjini sio kuzuri,....!
Hilo nalo neno... watu wenyewe wa mjini hawali kande tena ni Burger kwa kwenda mbele!!
 
Mpe pole sana.
Siku hizi watu wanaongozwa kwa tamaa ya pesa.

Biological clock.....sio tamaa za kifedha peke yake zinazofanya mabinti kukimbilia kuolewa....
Aliona nafasi ya kuolewa (tena na mkwanja juu), ilhali jamaa hajajipanga kuoa bado.....akawahi!
Wanawake wanaweza kuvumilia ukosefu wa kipato kuliko wanavyoweza kusubiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom