Amefuamiwa SMS imemponza

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Waungwana jamaa katuma SMS kwa bibi wa nje yenye maneno kuka kunywa chukua chumba nakuja kulipa, mkewe kainasa katika sent items ya simu ya mumewe, naombwa nifanye suluhu
 
Mwambie nimekoma sitarudia kukusaliti mkewangu (UKIMWI UPO UTAAIANGAMIZA FAMILIA) tupo wangapi? na wangapi kati yao wameathilika kuwa makini tulia ulee watoto
 
Waungwana jamaa katuma SMS kwa bibi wa nje yenye maneno kuka kunywa chukua chumba nakuja kulipa, mkewe kainasa katika sent items ya simu ya mumewe, naombwa nifanye suluhu

Mbona hajakupa information za kutosha? Alipoulizwa na mkewe alijibu nini? Alikubali kuwa huyo ni nyumba ndogo au alikataa? Maana jibu la kwanza alilolitoa kwa mkewe lina maana sana ktk kuleta usuluhishi. Jamani jichungune na hizi nyumba ndogo ....!
 
Alikuja kwako kutubu?umefungua kanisa siku hizi eeh?au wewe ndio yule mchungaji kule Kawe?jamaa lazima atakuwa na asili ya Kenya...
Hayo ya ngoswe...wewe shika jembe ukalime...
 
hata hiyo unaomba ushauri? si akubali kosa au wewe ulikuwa unataka ushauriwe kitu gani?
 
hapa ukisoma vizuri inaonekana ni ww, ila unamsingizia rafiki yako.

pole sana, ww mjanja mpige mkeo sound
 
mwambie alikuwa anamtest mkewe kuona kama ana wivu...

hahahahaaa...mwalimu wao kipofu eh

Alikuja kwako kutubu?umefungua kanisa siku hizi eeh?au wewe ndio yule mchungaji kule Kawe?jamaa lazima atakuwa na asili ya Kenya...
Hayo ya ngoswe...wewe shika jembe ukalime...

hata hiyo unaomba ushauri? si akubali kosa au wewe ulikuwa unataka ushauriwe kitu gani?

hapa ukisoma vizuri inaonekana ni ww, ila unamsingizia rafiki yako.

pole sana, ww mjanja mpige mkeo sound
Swali mojas majibu kibao!

Huu ndio utanzania halisi sasa!!
 
suluhu gani unayotaka kufanya?
Wifey unafanya nini kwenye hii sredi ya wazizi?

hahahahaaa...mwalimu wao kipofu eh
Hahahaha....... Kuna limjamaa liliwahi kufumaniwa live na mkewe gesti uchi wa mnyama lishapiga raundi zake tatu...... Demu akachoropoka jamaa likabaki na mkewe. Unajua lilijiteteaje? "Mke wangu nimeamini Mungu anaipenda ndoa yetu..... Ilikuwa nikisaliti na huyu malaya tena bila kondom. Kama si mpango wa Mungu kukuleta hapa labda leo ningeukwaa ukimwi. Mungu yu mwema kwetu"
Cha ajabu mwanamke aliamini alichoambiwa na mpaka leo anaapa mme wake hakummega ule mchuchu.

Umesema mwalimu wao kipofu? Ni kweli asee tena kipofu aliye bubu na kiziwi pia.
 
Back
Top Bottom