Amechoka kutendwa anahitaji mume

twin nilimuacha maana kila mdada humu akiomba msaaada yy anakuwa wa kwanza kutoa ushrikiano,huyu kampigia cm weee mpaka kachoka hapo kuna mume?
heee shemeji mnanishangaza
yeye anatafuta na wewe ulikuwa hujui umebutuliwa
 
twin nilimuacha maana kila mdada humu akiomba msaaada yy anakuwa wa kwanza kutoa ushrikiano,huyu kampigia cm weee mpaka kachoka hapo kuna mume?

ahaaaaaaaaaaaa nimekumbuka
mmmh!!! mwaya hata we moyo wako wa nyama.....
 
twin nilimuacha maana kila mdada humu akiomba msaaada yy anakuwa wa kwanza kutoa ushrikiano,huyu kampigia cm weee mpaka kachoka hapo kuna mume?

:D:cool::D kumbe una virus wa wivu anakusumbua ok uckonde tukirudi om tutayamaliza
 
kakaangu ana mke tena wa ndoa takatifu ya mke mmoja tu!!!!!!!!! tafuta mwingine....

Thats my mamushka! Always there for biggie! tena hujamalizia vizuri bado........Wa kufa na kuzikana.
 
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala
kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari
kuniendeleza kielimu ili 2weze kusaidiana ktk maisha.
NB:Aliye serious tu ndo anitafute kwan nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI,nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.

Mbona simu inaita tuu? Wacha nikuulizie hapa hapa.....tiGo inapatikana? weka picha kwenye PM ukiwa unaonyesha Mgongo tuanzie hapo kabla sijajicomit, kwa kuwa hujazuia pombe tutaelewana!
 
Mbona simu inaita tuu? Wacha nikuulizie hapa hapa.....tiGo inapatikana? weka picha kwenye PM ukiwa unaonyesha Mgongo tuanzie hapo kabla sijajicomit, kwa kuwa hujazuia pombe tutaelewana!

Kiongozi nakushauri usiendelee. Mi nimeipiga limepokea dume lina harufu ya libeneke.
 
nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI
tupe cv yako, umeshatendwa mara ngapi, kama hali ndiyo hiyo basi sidhani kama hapo bado 'pazuri'...mpaka umechoka? Lol! I can only imagine!
 
Kiongozi nakushauri usiendelee. Mi nimeipiga limepokea dume lina harufu ya libeneke.

kwaiyo kaolewa anatafuta nn ss au jamaa anamtenda anataka kutafuta mwingine kabla yakutoka akitoka aingie kwa mwingine
 
Mbona simu inaita tuu? Wacha nikuulizie hapa hapa.....tiGo inapatikana? weka picha kwenye PM ukiwa unaonyesha Mg ongo tuanzie hapo kabla sijajicomit, kwa kuwa hujazuia pombe tutaelewana!

mh ama kweli kumbe nina bahati nilipata mume kiulainiii, sasa haya ndo masharti gani tena yarabi!!! masanilo unataka kuoa mgongo au unaangalia qualities za mke bora! am afraid siku mgongo ukipata msukosuko utamuacha bila talaka.... !!! take care:confused:
 
kwaiyo kaolewa anatafuta nn ss au jamaa anamtenda anataka kutafuta mwingine kabla yakutoka akitoka aingie kwa mwingine

Niko kwenye mkakati wa kujua lengo lake. Inawezekana ni dume linataka kuwa bwabwa!
 
mh ama kweli kumbe nina bahati nilipata mume kiulainiii, sasa haya ndo masharti gani tena yarabi!!! masanilo unataka kuoa mgongo au unaangalia qualities za mke bora! am afraid siku mgongo ukipata msukosuko utamuacha bila talaka.... !!! take care:confused:

mkuu kila mtu anachokipenda yy anapenda mugongo mugongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom