Amechoka kutendwa anahitaji mume

Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala
kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari
kuniendeleza kielimu ili 2weze kusaidiana ktk maisha.
NB:Aliye serious tu ndo anitafute kwan nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI,nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.

jaribu mimi:
mrefu sana, mwembamba kiasi (karibu na sana), maji ya kunde sana, mkristu sana (japo mahudhurio church si mazuri sana), sina pesa nyingi sana (kukusomesha chuo naweza sana), napenda sana lakini ni mgumu wa kukata pesa sana, sina wake wengi sana. niko siriazi sana.karibu
 
majanga! mkuu feedback plz huyu anne alipata mume!
 
Kuna mtu anahitaji mke, mtu mwenyewe anaishi kwa mswati ni tycoon flani ila mke anayemhitaji awe ana umri kuanzia 30-35.
Katarakiana na mkewe wamezaa mtoto mmoja na sharti ni kuwa huyo mwanamke awe mwislam.
Kuhusu pesa ndiko iliko anamiliki showrooms za magari kwa mswati na botswana. Mtu mwenyewe ni mixed mtanzania na mnyarwanda ladies kazi kwenu.
 
jaribu mimi:
mrefu sana, mwembamba kiasi (karibu na sana), maji ya kunde sana, mkristu sana (japo mahudhurio church si mazuri sana), sina pesa nyingi sana (kukusomesha chuo naweza sana), napenda sana lakini ni mgumu wa kukata pesa sana, sina wake wengi sana. niko siriazi sana.karibu

Asante sana! hahaha
 
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala
kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari
kuniendeleza kielimu ili 2weze kusaidiana ktk maisha.
NB:Aliye serious tu ndo anitafute kwan nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI,nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.

mh....
 
Hangaika mama umpate mtu wa kukwambia maneno haya huku akimaanisha

Some broken hearts never mend,
some memories never end,
some tears will never dry,
my love for you will never die
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom