FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,373
Recipe yake inakuwaje
nataka kufungua kituo cha tiba mbadala
nataka kufungua kituo cha tiba mbadala
Nimejaribu mbona stimu hazijaongezeka?
Usitumie Abdalasini na asali Tumia dawa hii hapa. Dawa ya Kuamsha tamaa ya kiume na ya kike: Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na asali. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Tumia kisha unipe feedback.Mkuu.@ShaniceAmdalasini ukichanganya na asali inasaidia kuleta ashki?
Nimesha mpa dawa anayoihitaji Blaki Womanikunywa mara 2 kwa siku kwa muda wa siku 7 halafu uje utuambie MziziMkavu unahitajika hapa
Mdalasini kwa kiingereza ni cinnamonMdalasini kwa English nini? Na akshi ndo kitu gani?
Kuongeza stimu jaribu hii Dawa.Nimejaribu mbona stimu hazijaongezeka?
naomba ufafanuzi yai liliochemshwa na asali?Usitumie Abdalasini na asali Tumia dawa hii hapa. Dawa ya Kuamsha tamaa ya kiume na ya kike: Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na asali. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Tumia kisha unipe feedback.Mkuu.@Shanice
Nimesha mpa dawa anayoihitaji Blaki Womani
Mdalasini kwa kiingereza ni cinnamon
Na neno Ashki ni neno la kiarabu kwa kiswahili ni matamanio au kumtamani mtu kimapenzi akiwa ni mwanamke au mwanamme. Yaani dume kumtamani mwanamke au mwanamke kumtamani mwanamme ndio unapata neno hili (Ashki) aminiusiamini
Amdalasini ukichanganya na asali inasaidia kuleta ashki?
unachukua kiini cha yai ule unjano wake yai lenyewe liwe la kienyeji uchemshe pamoja na Asali pamoja aminiusiamininaomba ufafanuzi yai liliochemshwa na asali?