AMD vs. Intel: What to Get? Which is Better?

NVIDIA vs ATI
Hizi ni kampuni kubwa za graphics cards.... Game nyingi hutengenezwa kuanzia mwanzo huku watengenezaji wakizeweka perfect for NVIDIA lakini hizi game pia unaweza kuzicheza kwenye ATI. Issue ni kwamba AMD waliichukua ATI kwahiyo ukiwa na AMD na ATI unapata performance zaidi ingawa NVIDIA itakuwa na effect sawa kwa Kadi ya kiwango cha chini.

Ili kujua kadi gani ni nzuri kwako will depend on which chipset your board uses, how big your power supply is, and finally which games you actually want to play.

LIST OF GAMES FOR NVIDIA ANGALIA HAPA GeForce.com - Get the Most Out of Your GPU

PROCESSOR
Inategemea na kazi unayofanya hata na software unayotumia. Kwa jumla kwa kazi ambazo ni graphic oriented AMD inatajwa kuwa imejielekeza zaidi huko. Mfano AMD na HP huwa wana projects wanazoshirikiana kuandaa workstation. Sinema ya Shrek imetengenezwa kwa software ya Autodesk Maya katika workstation (powerful computers) za HP zenye processor za AMD. Inategemea pia na uwezo wa processor husika. Mfano hapa ninapoandika post hii natumia laptop yenye AMD Turion X2 ni duo core nzuri lakini huwezi kuilinganisha na Intel Core 2 duo au Intel Core i3 au i5 au i7 ambazo ni more powerful. Intel pia wamekuwa na rekodi ya kufanya mapinduzi ya haraka kiteknolojia kuliko AMD. AMD wamekuwa na sifa ya kufanya reverse-engineering ya processor za Intel. Developers wengi wa software huwa wanaandaa programs zao vichwani wakiwazia processor za Intel. Mfano kuanzia Adobe Creative Suite 4 (CS4) ilitajwa kama "It will be Intel only." Hii ilikuwa ni ujumbe maalum kwa watu wa Macintosh wenye processor za Motorola (PowerPC G1-G5) kuwa "wanapigwa chini." Hii haimaanishi kuwa AMD haiwi supported, yangu ni AMD kama nillivyosema na natumia Adobe CS4.

Macintosh kuanzia OS yao ya Leopard wameanza kutumia processors za Intel (siyo AMD)!! Sasa wako na Snow Leopard na ni Intel only si AMD wala PowerPC. AMD wanatarajia baada ya miaka michache watoe CPUs ambazo ziko merged na GPUs (Graphic Cards), zitakuwa bomba sana. Software kama Adobe Premiere CS5 wanatumia teknolojia wanayoita Mercury Engine ambayo inafanya kazi kwa nguvu kweli kwa msaada wa multicore-CPUs na GPU kwa pamoja, ni very poweful combination. Hata hivyo ili kufanikisha hili Adobe Premiere CS5, After Effects CS5, Encore CS5 na Adobe Media Encoder CS5 ni 64 bit only. Hivyo watu kama mimi wenye 32 bit OS tumeshaachwa!!! Kumbuka 32 bit OS huishia RAM 4 GB lakini 64 bit inakwenda mbali zaidi, najua kuna kompyuta zenye RAM zaidi ya 12 GB!! Actually ni zaidi ya hapo. Google HP Z800.

GRAPHIC CARD
Nvidia wamekuwa mstari wa mbele kuliko ATI katika mapinduzi. Najua pia ATI Graphic Cards ni nzuri kwa Gaming kuliko Nvidia (lakini game gani unacheza bwana hadi uone Nvidia iko chini?). Pia inategemea na version ya Graphic card na drivers. Nvidia CUDA na Nvidia Quadro ni very powerful graphic cards. Watengeneza software pia huweka vichwani mwao Nvidia japo haimaanishi ATI haiwi supported. Kuna maneno mengi sana ya kuchanganya wanunuzi.

USHAURI WANGU,

  1. Fahamu kwanza utataka kuitumia kompyuta kwa kufanya nini na software zipi utafanyia kazi
  2. Hakikisha kompyuta yako ina RAM ya kutosha zaidi ya 3 GB na Hard Disk ambayo ni fast ili usije kuwalaumu Adobe au Nvidia au AMD
  3. Kama utalazimika kuchagua basi Chagua Intel na Nvidia, motherboards sina detail nyingi, nahitaji kufanya research
  4. Fahamu namna ya kufanya configuration (kama ni lazima) ya kompyuta ili iendane na software zako
  5. Usitishwe sana na mabishano ya Intel na AMD, ni sawa na watu kubishania scientific calculator wakati wengi wao wanaishia kwenye hesabu za quadratic equations
Ni hayo tu.
 
AMD unapata 90% ya performance kwa 60% ya bei. Intel has the most powerful CPUs which run cooler and use less power, lakini bei yake ni zaidi kwahiyo naweza kusema kwamba AMD NI VALUE FOR MONEY; LAKINI KAMA UNAWEZA KUSPEND ZAIDI NUNUA INTEL (yaani ukichukua the latest Intel na the latest AMD Intel itakuwa na performance zaidi) Lakini kuna issue moja COMPUTERS ARE NOT MEANT FOR GAMING.... ili upate Computer ya Kucheza Games vizuri unahitaji kuspend pesa nyingi sana... Graphics Cards, Sound Cards, Processors lazima ziwe top of the range... Nakushauri kama unacheza Game nunua the likes of Xbox; Nintendo au Playstation..... Ni cheaper in the long run..

Aiseee hapo kwenye blue unaamanisha nini

.....................................
Ili kujua kadi gani ni nzuri kwako will depend on which chipset your board uses, how big your power supply is, and finally which games you actually want to play.

...........................

Aiseeeeee kujua kadi gani utahitaji ina depend how big your power supply is ??!!!!!! Naomba ufafanue nipate elimu zaidi may be am missing something
 
Aiseee hapo kwenye blue unaamanisha nini
Yaani Lower ends ya AMD processor bei yake ni rahisi tuseme kama Computer yako unafanya normal applications ambazo pentium III inaweza kufanya kazi, equivalent ya Pentium III kwenye AMD ni bei nafuu na Performance yake ni nzuri.... Ni kwamba hivi karibuni Intel walivyokuja na Duo Core Processors ndipo walipowaacha AMD kwa mbali..
 
PROCESSOR
Inategemea na kazi unayofanya hata na software unayotumia. Kwa jumla kwa kazi ambazo ni graphic oriented AMD inatajwa kuwa imejielekeza zaidi huko. Mfano AMD na HP huwa wana projects wanazoshirikiana kuandaa workstation. Sinema ya Shrek imetengenezwa kwa software ya Autodesk Maya katika workstation (powerful computers) za HP zenye processor za AMD. Inategemea pia na uwezo wa processor husika. Mfano hapa ninapoandika post hii natumia laptop yenye AMD Turion X2 ni duo core nzuri lakini huwezi kuilinganisha na Intel Core 2 duo au Intel Core i3 au i5 au i7 ambazo ni more powerful. Intel pia wamekuwa na rekodi ya kufanya mapinduzi ya haraka kiteknolojia kuliko AMD. AMD wamekuwa na sifa ya kufanya reverse-engineering ya processor za Intel. Developers wengi wa software huwa wanaandaa programs zao vichwani wakiwazia processor za Intel. Mfano kuanzia Adobe Creative Suite 4 (CS4) ilitajwa kama "It will be Intel only." Hii ilikuwa ni ujumbe maalum kwa watu wa Macintosh wenye processor za Motorola (PowerPC G1-G5) kuwa "wanapigwa chini." Hii haimaanishi kuwa AMD haiwi supported, yangu ni AMD kama nillivyosema na natumia Adobe CS4.

Macintosh kuanzia OS yao ya Leopard wameanza kutumia processors za Intel (siyo AMD)!! Sasa wako na Snow Leopard na ni Intel only si AMD wala PowerPC. AMD wanatarajia baada ya michache watoe CPUs ambazo ziko merged na GPUs (Graphic Cards), zitakuwa bomba sana. Software kama Adobe Premiere CS5 wanatumia teknolojia wanayoita Mercury Engine ambayo inafanya kazi kwa nguvu kweli kwa msaada wa multicore-CPUs na GPU kwa pamoja, ni very poweful combination. Hata hivyo ili kufanikisha hili Adobe Premiere CS5, After Effects CS5, Encore CS5 na Adobe Media Encoder CS5 ni 64 bit only. Hivyo watu kama mimi wenye 32 bit OS tumeshaachwa!!! Kumbuka 32 bit OS huishia RAM 4 GB lakini 64 bit inakwenda mbali zaidi, najua kuna kompyuta zenye RAM zaidi ya 12 GB!! Actually ni zaidi ya hapo. Google HP Z800.

GRAPHIC CARD
Nvidia wamekuwa mstari wa mbele kuliko ATI katika mapinduzi. Najua pia ATI Graphic Cards ni nzuri kwa Gaming kuliko Nvidia (lakini game gani unacheza bwana hadi uone Nvidia iko chini?). Pia inategemea na version ya Graphic card na drivers. Nvidia CUDA na Nvidia Quadro ni very powerful graphic cards. Watengeneza software pia huweka vichwani mwao Nvidia japo haimaanishi ATI haiwi supported. Kuna maneno mengi sana ya kuchanganya wanunuzi.

USHAURI WANGU,

  1. Fahamu kwanza utataka kuitumia kompyuta kwa kufanya nini na software zipi utafanyia kazi
  2. Hakikisha kompyuta yako ina RAM ya kutosha zaidi ya 3 GB na Hard Disk ambayo ni fast ili usije kuwalaumu Adobe au Nvidia au AMD
  3. Kama utalazimika kuchagua basi Chagua Intel na Nvidia, motherboards sina detail nyingi, nahitaji kufanya research
  4. Fahamu namna ya kufanya configuration (kama ni lazima) ya kompyuta ili iendane na software zako
  5. Usitishwe sana na mabishano ya Intel na AMD, ni sawa na watu kubishania scientific calculator wakati wengi wao wanaishia kwenye hesabu za quadratic equations

Ni hayo tu.
The Following User Says Thank You to 3D. For This Useful Post:
YeshuaHaMelech (Today)​
 
Waheshimia tunataka technical information na sio kulinganisha vitu kwa nini AMD ni nzuri technically
Kwanini Intel ni nzuri technically
Ila mi sijui so naziba mdogo
ma engineer mpo humu toeni maelezo!!!!!!!!!!!!!
 
Aiseeeeee kujua kadi gani utahitaji ina depend how big your power supply is ??!!!!!! Naomba ufafanue nipate elimu zaidi may be am missing something
Graphic cards ndogo (lower end to mid models) zinapata power yake kutoka kwenye mainboard; lakini higher end graphics cards unahitaji kuziplug kwenye PCI-E power plug kutoka kwenye power supply.
 
Waheshimia tunataka technical information na sio kulinganisha vitu kwa nini AMD ni nzuri technically
Kwanini Intel ni nzuri technically
Ila mi sijui so naziba mdogo
ma engineer mpo humu toeni maelezo!!!!!!!!!!!!!

Duh! Electronics ya processor ni heavy weight inajumuisha mabillion ya transistor switches. Tukiingia huko ndio tutakupoteza tu, bora tubakie hapahapa
 
Kama hiyo Laptoıp yako inaweza kusoma hizo Label mbili yaani 'Intel pentium Inside' na nyingine inasomeka 'NVIDIA GEFORCE with CUDA' tumia hiyo 'Intel pentium achana na 'NVIDIA GEFORCE with CUDA' Lakini unanishangaza Laptop yako ya aina gani Model yake hiyo waweza kutupa Detail za hiyo Laptop yako samahani

hapa imebidi nicheke tu hahahahahahahahahhahahha kaka umechanganya mambo hapa hebu rudia kwa miwani utaona nilichokiona
 
Haya Watalaam nawasalimia kwanza nataka kuunda Computer yangu nauliza ipo bora kutumia CPU kati ya hizi mbili Model? AMD vs. Intel ? na Motherboard ipi iliyo Kiboko na Grphic Card kati ya hizi mbili ipi nzuri zaidi?
Nvidia VS ATI: Which is Better? Nawaombeni ushauri wenu Asanteni wote

You havent told us how you are going to use your computer ??.
 
You havent told us how you are going to use your computer ??.
najuwa lakini bado Sijapata majibu yaliyosahihi mpaka sasa ndio mana nimenyamaza tu naangalia ujuzi wenu ingawa mkuu mtazamaji kwa kidogo maneno yake yananiingia lakini waliobaki maeno yao huwa yanaingia kichwani na kutoka nje. Je wewe mawazo yako yepi ipi bora AMD vs. Intel ? na ipi Bora Motherboard towa mawazo yako mkuu
 
Mimi ninayo HP pavilion PC kwa miaka 4 sasa. Inatumia AMD Processor (AMD Athlon 64 Processor 3800+)
na Nvidia graphic card. (GeForce 6150 LE) RAM 2GB
Na kila kitu kinakwenda bomba wakati huo huo huwa ninatumia kwenye Graphics. Mtu aniambii kitu hapa ninaihusudu sana AMD.
Habari ndiyo hiyo.
 
Kama hiyo Laptoıp yako inaweza kusoma hizo Label mbili yaani 'Intel pentium Inside' na nyingine inasomeka 'NVIDIA GEFORCE with CUDA' tumia hiyo 'Intel pentium achana na 'NVIDIA GEFORCE with CUDA' Lakini unanishangaza Laptop yako ya aina gani Model yake hiyo waweza kutupa Detail za hiyo Laptop yako samahani

Manufacturer: Hewlett-Packard
Model: Compaq Presario CQ71 Notebook PC
Processor: Pentium (R) Dual-Core CPU T4300 @2-10 GHz 2.10 GHz
System type: 64- bit Operating System
Windows 7
500 GB HD
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom