Ambulance viwanja vya Tanzania

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,818
548943_433448316702416_1874881306_n%5B1%5D.jpg
 
548943_433448316702416_1874881306_n[1].jpg 548943_433448316702416_1874881306_n[1].jpg
Mshambuliaji wa Coastal Union jana katika mpambano baina ya Coastal Union na JKT Ruvu alivunjika mguu na kukimbizwa hospitali ya Muhimbili kwa usafiri binafsi wa msamaria mwema,haya mambo mpaka lini ? jana nimeambiwa kwenye mchezo baina ya African Lyon na Kagera Sugar hakuepo hata askari mmoja,Je hii kweli ilikua sahihi ?Ambulance ni kwa michezo ya uwanja wa Taifa tu ?
 
Bongo kila kitu kinawezekana Amavubi
angekosekana msamaria mwema wangempakia kwenye toyo kumpeleka hospital
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom