Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ambulance kwa wagombea urais ni muhimu wakati wa kuhesabu kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtaka Haki, Oct 26, 2010.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli sitanii, namaanisha kuwa suala la kuwa na ambulance karibu na wagombea urais ni muhimu kwani matokeo yakitolewa ya kweli yatashtusha mno.
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 3,981
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  mimi sina wasiwasi na dk slaa ila yule mwenye ugonjwa wa kuangukaanguka bila sababu kwa kweli nina waswasi sana na afya yake maana kunaa hatihati ya mtu kupoteza maisha kabisaaaaaaa badala ya kuzimia
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,491
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wewe sasa unataka ugomvi na mafisadi wa ccm kina Zawadi Ngoda na wenzake
   
Loading...