Ambulance eneo la matokeo!!!upo hapo?

Thinker96

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
311
66
chuoni kwe2 hapa saut mwanza leo wamebandika matokeo kama kawaida huwa hawarushi kwenye net kwanza kwa sababu za kiusalama kila kituo cha fakati ambapo wamebandika matokeo gari la ambulance na watoa misaada wa huduma ya kwanza wanazunguka huku wakiwaambia watu walipata angalau sura ya furaha na kelele marufuku...m2 asikudanganye matokeo ya wote yamebandikwa jaman jaman shule c mchezo hali kama ndo hv hapana.
 
Pole kijana, kila mkulima huvuna alichokipanda.

Kama ulipanda Disco utavuna Disco
 
mbona bora hiyo ya degree ya kwanza panda huku juu uone shule ilivyo shughuli!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom