Ambikilaria, Dawa mpya ya kutibu magonjwa sugu

Sigma

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
5,006
1,254
Hawa jamaa wa wizara safi sana, nimependa wanavyo 'handle' utafiti juu ya dawa ya babu Mch. Ambikile. waendelee kutotoa kila kitu hazarani ili jamaa wa majuu wasije claim wamegundua wao. identity ya mti ibaki kuwa anonymous (no botanical name wala jina la uji) huu mti ubaki kuwa uliogunduliwa Tz ! Waendelee hivyohivyo mpaka watakapokuwa wamepata uhakika kabisa kuwa unapoteza mpaka virus ndipo waanze tengeneza vidonge na dawa itaitwa Ambikilaria.
dozi yake itakuwa 1 x 1.
property right itabaki TZ kama kampuni litataka ku'duplicate itabidi limlipe Mch. Ambikile na Tz kwa ujumla limlipe Mch. Ambikile na Tz kwa ujumla labda hii itatutoa maana madini yameshindwa!
 
Tatizo ni kwamba hii dawa lazima ipitie katika kikombe rasmi cha babu... chenye rehema na upako wa ajabu, tena maalum - vinginevyo hakuna kitu. Usifikiri wadau maslahi hapa nchini hatujaona potential ya kamfereji ka neema hapo, shida ipo katika namna ya ku-activate hako ka kemikali mmea ili kafanye kazi :focus:
 
Back
Top Bottom