Ambaye hajalala tupige stori.

Mwali mpwa wangu, sio kawaida yako kuandika maelezo marefu hivi kwa sababu ya mtu mmoja kuchakachuliwa kura...mbona hujasema mimi ankal wako, nimenyimwa haki ya ugombea binafsi, na jumatatu naenda mahakamani kupinga?

sasa basi kabla sijalala, pamoja na kila kitu, hebu nipe maelezo kuna nini so special

ankal wako leo ako na tafakuri sana....
Shkamoo tena Ankal wangu mpendwa.
Ulivo nilea pamoja na shangazi, unajua mimi sio mtu wa kusema sana
Na nikisema mara nyingi ni sababu nimechokozwa
You know me, I hate losing. I was born to win CONSTANTLY (as I do)
Nilijitolea kumpigia kura na kumpromote member mwenzangu aitwae EMT
Nilikua tayari kwa kila kitu, kumuona akifaulu au akishindwa
But iwe haki, iwe sauti ya wapiga kura
Sasa nimeona uchakachuaji wa hali ya juu
Rules za kupiga kura zinaandikwa wakati watu wameshaanza kupiga kura
na zina wapromote watu fulani, zinawaponda watu fulani
Hiyo ya kusema mtu hatakiwi kujinominate wameleta baada ya kuona candidacy yako itafunika wengine
Hiyo ya kusema mtu hatakiwi kunukuu wameileta baada ya kuona candidate wetu analead
Pia hiyo ya kuhamisha mtu from one category to another wameileta baada ya watu kupiga kura
Mpwa wako nimeboreka kweli Ankal, ila nikaona nipotezee tu...
Sipendi ligi, sikulelewa hivo. I hate losing, but I hate ligi even more.
Mimi namjua Man/woman of the year, namjua King/queen of MMU and I keep in me
 
Now....what can I possibly say? (ivi nisije nikawa nimekosea kingereza manake huku hukawii kuanzishiwa sredi mpwa wangu?)
 
There is nothing to say or do at this point. Just hug me tight and say it is ok to cry...
Mi nimeelewa kua mpango mzima wa kupiga kura sio wa kuchukulia too seriously.
Tuendelee kuparticipate just to have fun ila tuwe tayari kwa kila kitu
Anti bado yuko katika categories zote mbili, So I will be there to vote,
ila kwa man and king mi nimejitoa.
 
unaitikia "eehee". Cousin tatizo uligoma kuishi na bibi. Mwambie aunt akupeleke kijijini angalau mwezi.
Mi sitaki kwenda kwa bibi, nitamkuta babu huko halafu atalazimisha kunikagua!!!
 
EMT ni still a winner
kuwa na mwali na husninyo na belinda si kitu kidogo
na wanalia now hajachaguliwa
i envy him....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom