tumenusa harufu inaanza kusikiwa polepole hii ndo Tanzania yetu, ipo siku tu mambo mengi yatafichuliwa.Tusiwe wavivu wa kufanya uchambuzi!! Hivi, all all the people waliopo Foreign Affairs, waliosomea International Relations & Diplomacy...wenye Ph.D na uzoefu wa miaka mingi JK alimuona Mama Majaar peke yake??.....kuna kingine zaidi ya hiyo CV (angempa kazi Ministry of Justice basi)...huyu alipelekwa nje...kurahisisha baadhi ya mambo! Fumbueni macho na masikio...nuseni!!!