Amazing Mobile application

Mputi

Member
Sep 9, 2011
52
7
Habari wana JF,tunatoa huduma ya kutangaza biashara mbalimbali kwa kutuma sms kwa watu, tuna application inayoweza kutuma Group/Bulk sms kwa watu wote kwa mitandao yote ya simu kwa bei sawa, ni tsh 45/= per sms, for more info contact me: gerald@webtechnologies.co.tz or visit: www.webtechnologies.co.tz
 
Nawaomba sana muheshimu namba zetu na msitutumie hizo sms za biashara, tumieni magazeti na mitandao, hii ya kututumia sms hela mle nyinyi sisi tuteseke hatutaki.
 
bado sijakupata mkuu,unatuma kwa idhini ya nani? yaani unatuma kama matangazo ya tigo.
 
Nawaomba sana muheshimu namba zetu na msitutumie hizo sms za biashara, tumieni magazeti na mitandao, hii ya kututumia sms hela mle nyinyi sisi tuteseke hatutaki.

Faiza, mtu akiwa interested kuitumia kwa biashara yake anatuma sms kwa watu anaotaka sms iwafikie, sio kutuma random
 
Samahani mleta mada naipeleka kwenye matangazo madogo madogo nadhani ina fit huko.
 
Back
Top Bottom